Bunge la Bajeti 2013/2014 kwanini iwe April badala ya Julai?

Kennedy

Platinum Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
62,672
Reaction score
76,772
Wakuu salam.

Leo ndiyo Bunge linakaa mjini Dodoma kwa bajeti,sasa nina maswali machache kwa wanajua wanisaidie kujua:-

1. Kwanini Bunge limekaa mapema tofauti na miaka mingine,hukaa mwezi Julai?

2. Nchi za Afrika Masharika mara nyingi,kama si sheria huwa walikukuwa wanasoma Bajeti mwezi
Julai zote kwa pamoja na siku moja.

Tafadhali msaada wakuu.
 
Ngoja waje wajuzi, actually i didn't ask myself why...!?
 
Lengo kuu ni kuhakikisha kuwa fedha katika Taasisi za serikali zinaanza kutolewa mapema(tarehe 1 julai) bajeti mpya inatakiwa ianze kutumika tofauti na zamani ambapo mara nyingi fedha ilkuwa ikitolewa kuanzia mwishoni mwa agosti hadi mwanzoni mwa septemba.
 
... au wanakwepa ule mjadala wa hela za uswiss, ambapo ilitakiwa mchakamchaka wake ulitakiwa ufanyike mwezi huu wa nne kama ilivyoahidiwa na spika!
 
Lengo kuu ni kuhakikisha kuwa fedha katika Taasisi za serikali zinaanza kutolewa mapema(tarehe 1 julai) bajeti mpya inatakiwa ianze kutumika tofauti na zamani ambapo mara nyingi fedha ilkuwa ikitolewa kuanzia mwishoni mwa agosti hadi mwanzoni mwa septemba.

You buried it...
 
uko sahihi mkuu, lakini pia hela za bajeti kutolewa huwa zinachelewa kwa miezi miwili, sababu bunge la bajeti huwa ni miezi miwili, kwahiyo unakuta hela zinatolewa 1st september wakati bajeti iliyosomwa ni ya kuanzia 1st july.

Na pia Finance Bill ilikuwa inapitishwa na Bunge baada ya trh 1/7 wkt serikali inaanza kukusanya kodi tangu trh 1/7 ambayo kisheria ni makosa. Wameogopa angeweza kutokea kichaa Kama mfuata mdundiko na kugomea kulipa kodi na wangeshindwa kumchukulia hatua za kisheria
 
uko sahihi mkuu, lakini pia hela za bajeti kutolewa huwa zinachelewa kwa miezi miwili, sababu bunge la bajeti huwa ni miezi miwili, kwahiyo unakuta hela zinatolewa 1st september wakati bajeti iliyosomwa ni ya kuanzia 1st july.
Kama nilisikia vizuri wakati ofisa wa habari wa bunge jana alitoa sababu kama mbili hivi kwa nini wanafanya sasa hivi. Nilivyoisikia vizuri ni kuwa kutakuwa na kikao cha bunge cha katiba nacho kimechangia kubadili muda wa kikao cha bajeti na kuna kikao kingine kinatakiwa kiwepo kabla ya hicho cha katiba ndio maana wamebadili ratiba. Waliongea TBC jana kwenye taarifa ya habari
 
1. Ni kikao cha bunge la katiba
2. Kuwahisha feza katika taasisi ili zianze kutumika July
 
Back
Top Bottom