Recent content by Migato nvaningi

  1. M

    Natafuta mchumba (mwanamke)

    Mkuu, chungulia huko Badoo
  2. M

    Mtoto kutotoa haja kubwa tatizo nini?

    Kawaida tu Kwa watoto wachanga, kama anajampa Haina shida. Imewahi kunitokea Kwa mwanangu. Kabla sijaelimishwa na Dr nilijawa na wasiwasi.
  3. M

    Moto wateketeza ghala lenye mizigo ya magendo na waliokwepa ushuru Tanga

    Ripoti ya uchunguzi ikiletwa ndio utatamani kutapika.
  4. M

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Ungejua changamoto tunazokumbana nazo wakulima, usingeleta huu upuuzi wako hapa.
  5. M

    Umekumbuka kuwatumia chochote wazazi walezi au ndugu zako?

    Toeni kwanza tozo. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  6. M

    Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Kwamba hiyo kamati Hadi iakisi matakwa ya chama tawala! Kulikuwa na haja gani ya kuunda tume? Nahisi chama tawala kinanufaika na hizi tozo. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  7. M

    Joseph Mbilinyi afanyiwe mpango aende bungeni, huyu Tulia Mimi bado sijamwelewa

    Kwani huko kwenu kampeni zimeanza? Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  8. M

    Daima usimdharau usiyemjua, mwenzenu leo nimekutwa na jambo

    Labda ni wachimbaji wa Madini. Swali, kwanini umzarau mtu Kwa mwonekano wake na si matendo? Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  9. M

    Waziri Makamba, Wamemaliza gesi uliyowagawia. Wafanyeje?

    Haha haha ila kwa kweli! Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  10. M

    Tofauti kati ya Tozo na VAT ni nini?

    Tozo ni faini, VAT sijui ni ushuru! Kwanza wameandika Kwa lugha ya malkia ili wanichanganye Mimi mnyonge. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  11. M

    Maswali 100 ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022

    Hayo maswali labda waniulize kabla sijalewa.
  12. M

    Makato ya ushuru wa kuweka au kutoa fedha benki na kutuma na kupokea fedha kielektroniki waanza

    Nunua Madini,eg dhahabu uweke ndani, ni rahisi kuyapata, hayaozi, rahisi kuyahifadhi, yanapanda samani Kila leo.
Back
Top Bottom