Nimeota ndoto ya 3 kuwa CHADEMA itakuwa chama tawala 2025!

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,303
14,171
Hi ni mara ya 3 naoteshwa ndoto kuwa CHADEMA kitakuwa chama tawala katika uchaguzi wa 2025. Nimejaribu kuzipuuza hizi ndoto ila sasa zimekuwa too much,naona umefika wakati wa nchi kuingia katika mikono salama ili safari yetu ya mafanikio ianze rasmi. Je swali sasa ni nani atakaye tuvusha kutoka utumwani, matesoni, kwenye njaa na dhulma mpaka kwenye mafanikio ya kweli yaletayo tumaini? CHADEMA kamwe wasipuuze hizi ndoto zangu wanamuitaji spika wa zamani mh. Job aje kutuvusha hapa tulipo. Haya maono wasiyapuuzie watu wa CHADEMA mtakuja nishkuru baadae! Movements for changes italetwa na mh. Job! People's power italetwa na mh. Job, na nguvu ya umma iko nyuma mh. Job kudai haki zao.
 
Kama CCM ita simamisha mama kama candidate wake, na huku akitaka awafurahishe wapinzani mara CCM. CHADEMA kwa mara ya kwanza watakuwa na mpinzani dhaifu toka CCM ili mradi wekeni candidate wa kueleweka siyo wanaharakati.
 
utaratibu wako wa ndoto aujapangiliwa vizuri,kwanza ota mabadiliko ya katiba mpya na tume huru.
 
Ni kitu kinachowezekana kama demokrasia itapewa heshima yake, ila hii ni ndoto ya mchana kuing'oa ccm hii madarakani kiulaini hivyo.
 
Nimeota mara 3 mkuu unadhani ni ndoto ya kawaida?
 
Hi ni mara ya 3 naoteshwa ndoto kuwa CHADEMA kitakuwa chama tawala katika uchaguzi wa 2025. Nimejaribu kuzipuuza hizi ndoto ila sasa zimekuwa too much,naona umefika wakati wa nchi kuingia katika mikono salama ili safari yetu ya mafanikio ianze rasmi. Je swali sasa ni nani atakaye tuvusha kutoka utumwani, matesoni, kwenye njaa na dhulma mpaka kwenye mafanikio ya kweli yaletayo tumaini? CHADEMA kamwe wasipuuze hizi ndoto zangu wanamuitaji spika wa zamani mh. Job aje kutuvusha hapa tulipo. Haya maono wasiyapuuzie watu wa CHADEMA mtakuja nishkuru baadae! Movements for changes italetwa na mh. Job! People's power italetwa na mh. Job, na nguvu ya umma iko nyuma mh. Job kudai haki zao.
CHADEMA kweli mazuzu, yanajitekenya na kucheka yenyewe! Kafuteni tiba ikiwezekana mkatibiwe MIREMBE
 
Back
Top Bottom