Recent content by Midozenj01

  1. Midozenj01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ninayoishi ni ya ajabu kweli, ushauri wako unahitajika

    Hahahahh aisee tupo wengi, hii hali imenikuta mpaka sasa nipo China kibiashara lakini still muda mwingi najifungia ndani hahahahh hatar sana..
  2. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Lakini pia kwa Experience yako Transaction fees zipoje?
  3. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Mkuu hapa kuna kitu umesema nimepata somo, Shukrani sana aisee, Mfano mimi nataka nilipe mzigo wa thamani ya 20M za kitanzania at once, Bank ipi inayoweza nisaidia kulipa Whole at once sababu most banks they limit 5M nadhani, lakini pia
  4. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Yaani mfano natakaka kulipa 20M at once Na vipi kuhusu Transaction fee
  5. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Yaani mfano natakaka kulipa 20M at once
  6. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Hii naifanya straight kutoka kwa Bank yangu?
  7. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Best idea kwa kigezo cha kupeleka mzigo kwao itakuwa reasonable sana, asante sana Brother
  8. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Yeah unaweza ila jikaze kidogo walau 1M maana mambo huwa yanakuwa mengi kidogo nje ys kuagiza tu
  9. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Samahani mkuu kama utaweza niweka wazi hapo sababu siku 1 nilipiga simu customer care wao nilikuwa na shida zingine ila nikajaribu kuulizia hili akaruka na kuniambia hawana hii huduma, Naomba kama kuna namna au hata contact mkuu utakuwa umenisaidia mno.
  10. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    I know but kiwango cha kulipa kipo limited kule mkuu Sure, Majibu mdogo mdogo nayapata aisee
  11. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Nnaship kwa Silent Ocean mkuu sina hakika kama wanatoa huduma hii, ngoja nitacheki nao, Ila asante sana kaka.
  12. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana. Mimi ni mpambanaji najitafuta nimekuwa nikihusle sana kulipia bidhaa zangu China kwa Suppliers hususani katika njia ambazo ni...
  13. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania CRDB account haisomi

    Asante sana kwa ushauri mkuu
  14. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania CRDB account haisomi

    Wizi waki pumbavu sana.. Hawajui kila mteja anageneral statement ya account kichwani achilia mbali statement zao? Ngumu sana kuiba wazi wazi.
  15. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania CRDB account haisomi

    Jumatatu naenda tena Tawini nitaleta mrejesho
Back
Top Bottom