Recent content by MICROZ

  1. M

    JamiiForums Tanzania Aah Mwamposa unafeli sasa, changa la macho la wazi kabisa

    Shida siyo mwaposa kuonesha mkono usio bali ni wewe kumfuatilia ndio shida. Maana hapa unampa promo tu bali kama usipomfuatilia hutajua hata madhaifu yake. Mimi huwa simfuatilii kwa maana kuna channel nyingi za dini. Hata TB Joshua marehem kwa sasa nayeye pia nilikuwa simfuatilii. Sababu ya...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa ni wewe kwenye hali hii, ungefanya nini?

    Mbona ni rahisi tu, mm mtu nikikaa naye kwangu choo ambacho mm situmii ,mtumiaji ndio anatakiwa asafishe, yaan chooni anaingia peke yake af mm nifanye usafi, hata akimaliza kuofa anashindwa kudeki, haiwezekani, mm namchana nakumwambia hakikisha unasafisha choo unachotumia na sabuni nampa
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa ni wewe kwenye hali hii, ungefanya nini?

    Umenichekesha sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nina gundu, wanaume hawanitongozi

    Hapo shetani anakuwaga anataka kuharibu mapenzi yenu, ukiachika tu hutawaona tena
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umening'iniza rozari au tasbihi kwenye gari lako lakini hupishi wenzio, huo ni urembo?

    [emoji849][emoji849] Haya sasa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba maana ya usemi "Ng'ombe hawezi kuona umuhimu wa mkia mpaka ukatike." Na je, kuna uhusiano na jamii yetu?

    Ndio hvyo hata umuhim wa kitu hauonekani ukiwa nacho mpk kiwe hakipo au kiwe adimu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu

    Mbavu zangu jaman, mm nahisi huyu ni comedian wakuandika
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

    Ni kweli wanapokuja kuwekeza na kufanya vitu mbalimbali tunahisi wana upendo wa hali ya juu kumbe ni njia za kufanikisha mission zao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

    Buldozer hakemei dhambi wala hafundishi Toba, nadhani hujamwelewa mleta mada
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

    Na pia hautamsikia mwamposa akisema watu watubu dhambi, nakubaliana na mleta maada,na si mwamposa tu siku hizi mafundisho ya Toba yamepotea sana , Kila mtu anazungumzia miujiza na mafanikio ya kimwili zaid
  11. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ruvuma: Nguzo za Daraja la Mto Muhuwesi zadaiwa kufikisha miaka minne bila kufanyiwa marekebisho

    Hapana mkuu, Mafuriko yamepita 14/02/2022 ndio yakasababisha hali hiyo. Mimi nilifika tarehe 15/02/2022 ili kushangaa hali ya pale mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Tunduru alikuwepo pia mheshimiwa Chiza Marando, TANROAD pia walikuwepo kuangalia uharibifu uliotokea.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani ya kusafisha sufuria za aluminum?

    Wapendwa polen na majukumu, nina sufuria za aluminium kampuni ya Andalus, sufuria hizi zikipata moshi au masizi ni namna Gani au kifaa gani kinafaa kusafishia Ili zibaki katika mng'ao wake?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Godoro gani la spring ni zuri?

    Je bongo lipo na ni kiasi gani?
Back
Top Bottom