Nikiwa Kama Kijana Mzalendo Hapa Tanzania Nimeamua Kujitolea Kupambana na Hawa Vijana Wapuuzi Wanao Tishia Maisha Ya Watanzania Wenzangu
Nimepitia Mafunzo Ya Ugambo mwaka 2001 nikajiunga Na jeshi Mwaka 2004.
Mwaka 2011 nikapelekwa Somalia kupambana na Vikosi vya ugaidi Mwaka 2016 nikaingia...
Na mimi hii ishu inanitesaa kinouma ...
sema nimewacheki nida nimeambiwa niende na vitambulisho vyangu ,livng chet chakuzaliwa na 20000 wanaweza wakanisaidia kuchange heref walizo ongeza kwny jina
Nilipewa Kipigo Na Wanafunzi Wenzangu (Nilikuwa Snich)😣😣
.
.
Nikiwa uko o level 2013 Moro uko boding shule moja ivi (sitaki mnikimbuke kama mpo humu)
Kuna Maticha Waliniomba Niwe Mpelelezi (Snich) Napeleleza Mambo Ya Hostel ya Wanafunzi Hapo Nipo Kidato Cha Pili
Nilikuwa Naishi Vizuri Sana...
Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing
Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli
Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo tajwa.
kama mtu ana connection ya kazi hayo maeneo naomba msaada tafazari ndugu zangu
VIJANAA wenzangu msije mkajifanya mmepagawa na nyie mkaandamana na hao wana siasa ... Wewe waangalie tyuu wenyewe wafanye maandamano yao ..bado tuna vingii vyakufany kwny maisha na family ... yaani mtapigwaaa ... vibayaa sanaa yaan atakaye sapot hivi vitu hatokuja kusahau katika maisha yake kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.