Hapo penye bold and coloured ndipo watanzania na baadhi ya waafrika tulipokosea na kupoteza mwelekeo. Utasikia kila kitu serikali itufanyie (Kuchimba choo, kuzoa takataka, au kuondoa jalala mahali fulani, n.k), rais njoo utusaidie, waziri mkuu sikia kilio chetu n.k, wakati mambo yakiendelea...