Recent content by MICKI

  1. M

    Wapigaji Wangu Hatari wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Wa muda wote

    SINISA MIHAJLOVIC wa Yugoslavia, Hadi ilifikia kuitwa mguu wa jini... Alikuwa akichezea club ya SS LAZIO
  2. M

    Kumiliki gari Tanzania kumegeuka kuwa ng'ombe wa serikali

    Nchi ya kusadikika hii, hatutaweza kufaulu Mpaka hawa mafisadi waondoke Madarakani
  3. M

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Econometrician, Kama kiongozi yoyote hufanyiwa vetting, Kwann rais alisema Wenye vyeti fake ktk aliowateua wajitokeze wenyewe, je hana uhakika na vetting yake?
  4. M

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    mwenyewe amesena Alikuwa Anahitaji degree moja tu bila kujali ataipataje
  5. M

    Mtoto akilawitiwa halafu unaambiwa umechelewa kuripoti hakuna ushahidi,Je ni haki kisheria??

    Inaumiza Sana sababu mtoto ametendewa ukatili, lk. Kisheria Hapo mzazi Itabidi atafute ushahidi mwingine Ili kuendelea na kesi, mtu hawezi hukumiwa bila ushahidi kamili
Back
Top Bottom