Wapigaji Wangu Hatari wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Wa muda wote

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Hawa ni Wachezaji Hatari sana waliyowahi kutokea Duniani kwa Upigaji wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Haijalishi walikua wanapiga mipira kutokea Kona gani Ila kati ya Mipira 5 lazima minne Itie Kambani.

JUHIHNO PERNAMBUCANO...Huyu alikua kijana wa kibrazili akicheza pale ufaransa klabu ya Olympique Lyonnais alikua hatari sana kwa dead ball.

SHUNKUKE NAKAMURA...Huyu alikua kijana wa Kijapani akikipiga pale Celtic ya Uskochi Makipa walikua wanajua shughuli yake naye alikua hatari sana kwa dead ball.

Hao ndo Mafundi Wangu wataalamu wa kupiga dead ball kuwashuhudia katika soka wakifuatiwa na akina David Berckam,Ronalddihno na hawa akina Messi kwa kizazi cha sasa.
1490990687781.jpg
1490990695225.jpg
 
Safi
Mimi hapo naongeza

David Beckham, jamaa alikuwa master wa dead balls nakumbuka hasa Goli alilo wafunga ugiriki 2001 nadhan jamaa alikuwa ana jua.
Andrea Pirlo- pia alikuwa kwa aina yake yulo poa
Ronaldonho Gaucho- nakumbuka mtume huyu na nabii wa mpira aliwafunga England kwenye kombe la dunia goli safi kabsa.
 
Daa umenikumbusha Goli la beckham nakumbuka game hiyo ilichezwa majira ya saa moja moja hivi kwenda saa mbili nimetumwa kuchukua maziwa nikapitia kwanza kula chabo david anawapeleka waingereza kwenye Kombe la Dunia

Sidhani kama David Seaman atakuja kumsahau Gaucho

Pirlo naye fundi wa kutafuta angle na Mzee wa Panenka.
 
Yes
Kipindi kile Becks alikuwa kwenye his prime, jamaa kwa dead ball alikuwa mzuri hahaha , uliliangalozia njiani, mimi niliangika kwa jiran yetu yeye ndio alikuwa na tv.
Gaucho tuna muita mtume na nabii wa mpira he was the best kwa kweli
 
SINISA MIHAJLOVIC wa Yugoslavia, Hadi ilifikia kuitwa mguu wa jini... Alikuwa akichezea club ya SS LAZIO
Hawa Yugoslavia walikua watamu sana ila baada ya kuanza kugawanyika zile nchi kwisha habari yao.

Nakumbuka nlikua na book la Stika za wachezaji kati ya wachezaji wagumu kuwapata alikua yeye na BEBETO,Nakumbuka kuna jamaa walimwibia picha yake ya Bebeto aliangua kilio balaa

book langu mpaka leo ninalo.
 
Dead ball ndio Mpira gani, eti mpira uliokufa umekufaje sasa, nielewesheni.
 
Yes
Kipindi kile Becks alikuwa kwenye his prime, jamaa kwa dead ball alikuwa mzuri hahaha , uliliangalozia njiani, mimi niliangika kwa jiran yetu yeye ndio alikuwa na tv.
Gaucho tuna muita mtuma na nabii wa mpira he was the best kwa kweli
Uyu jamaa ile miguu yake sijui ilikua na Nini kuna game yao akiwa barca wakicheza na Villaleal ya akina Sorin,Senna huyu naye alikua kiungo mtamu sana sema kaja zama za akina xaxi na iniesta akakosa kuwika na Muargentina Flani Riqqueleme Sijui kama nimeandika vizuri naye alikua mzuri kwa dead ball,Gaucho alifunga goli zuri sana
 
Back
Top Bottom