Recent content by MICHUTZ

  1. MICHUTZ

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Imedumu mpaka leo
  2. MICHUTZ

    Bombardier new model

    [emoji23][emoji23][emoji23] mshamba katika ubora wangu
  3. MICHUTZ

    Bombardier new model

    Nchini Uganda Imenunua ndege mpya aina Ya Bombardier new model inamaanisha Ya Tz ni old model Cheki haina Hata Panga boi kama Ya anko magu
  4. MICHUTZ

    Hili jibaba halina aibu!!!

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. MICHUTZ

    RC Makonda kashindwaje kutatua tatizo la ombaomba Dar?

    Omba omba nayo kazi na sio lazima uwape ni ihari yako mwenyewe
  6. MICHUTZ

    Tusio na mialiko ya Pasaka tukutane hapa

    Tulio makazini Japo ni sikukuu tucomment wap
  7. MICHUTZ

    The Champion

    Timu Ya Juventas tayari washamaliza mambingwa Mara 8 wa ligi ya Italia
  8. MICHUTZ

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. MICHUTZ

    Wallace Karia achana na Makonda anakupoteza

    Hao ni Mboga 7 hata rafu hawachezi [emoji23][emoji23]
  10. MICHUTZ

    Wallace Karia achana na Makonda anakupoteza

    Eeh?!! Ukisoma Historia ya wachezaji bora duniani utasikia wametokea mtaani na wanajua kupambana ile mbayaa.
  11. MICHUTZ

    Wallace Karia achana na Makonda anakupoteza

    Ili Tufanikiwa ni kuwachukua Manyoka wa mtaani ambao hawana mbele wala Nyuma sio mboga 7 hawa
  12. MICHUTZ

    Wallace Karia achana na Makonda anakupoteza

    Maandalizi Yalifanyika kisiasa saana!! Na Motisha hawakustahili kabisa, huwezi kushangilia ushindi kabla hujacheza
  13. MICHUTZ

    Wallace Karia achana na Makonda anakupoteza

    Kwa Kifupi Serengeti boy imefanya Vibaya kutokana na Ahadi za wanasiasa. Mpira na siasa Ni vitu 2 tofauti.
  14. MICHUTZ

    Hai, Kilimanjaro: Wenyeviti 13 wa vitongoji wa CHADEMA, wamejiuzulu na kujiunga CCM

    Nilidhani amefiwa kumbee Malaya kununuliwa
  15. MICHUTZ

    ATCL kuanza safari za kwenda Afrika Kusini

    Hiyo route ni pasua kichwa muulize KQ au Fast jet. Mmbabe ni SAA
Back
Top Bottom