Yes hii route muhimu sana sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar -Lubumbashi - Kinshasa -Dar ,wafikirie pia au kuna abiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar -Lubumbashi - Kinshasa -Dar ,wafikirie pia au kuna abiria
Mkuu siku nyingine tumia malawian airline maana ni cheap kidogoHii route ya dar-joburg imekua pasua kichwa sana. Kila anayejaribu kushindana na SAA kwenye hii route anachemka. Kuna wakati precision nadhani walijaribu wakashindwa..fastjet walijaribu wakashindwa..kulula/british airways walijaribu wakashindwa. Ngoja tuone kama air tanzania wataweza. Kukiwa na ushindani angalau bei itashuka maana saa hizi SAA anajichagulia tu nauli ya kutoza maana yupo peke yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes nafahamu. Nilikua nazumgumzia direct non stop route. Najua za indirect karibu zote ni cheaper than SAA. Wapo hao malawian..kuna rwandair..ethiopian..KQ...wote ni cheaper than SAA. Ila SAA ni the fastest kwa sasa maana haina connection. Air tanzania sasa watachuana nae kwenye direct routeMkuu siku nyingine tumia malawian airline maana ni cheap kidogo
SAA kwenda tu ni around $450-600 sasa go and return hapo si mcheziItabidi air tanzania wajipange vizuri. Wakiweka nauli reasonable na wakafanya marketing vizuri wanaweza wakafanikiwa. SAA nauli juu sana..kuna wakati inafika hadi $700 kwenda na kurudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
SAA kwenda tu ni around $450-600 sasa go and return hapo si mchezi
Hawfichi figures zao ikulu, ndiyo maana na wewe ukajua, full transparencyLaiti ungejua SAA ndio wanamatatizo makubwa ya kifedha. Serikali kila mara inabidi iwape ruzuku maana shirika linapata hasara kila mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hili shirika halikua na business plan
Roho inakuuma,.Hawa jamaa kila siku wanakuja na single mpya.
Mpaka 2020 October inafika, si ajabu hakuna safari itakayokuwa imeanza.
Hiyo route ni pasua kichwa muulize KQ au Fast jet. Mmbabe ni SAAView attachment 1075093
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) karibuni linatarajia kuzindua safari mpya za kwenda Afrika Kusini, ambapo ndege ya kwanza kuruka kwenda jijini Johannesburg itaruka Julai mwaka huu.
Mkurugenzi Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi amesema kuwa watatangaza nauli na kuanza kutangaza safari hizo watakapoanza kuuza tiketi.
Hatua hii kubwa ya kuendelea kupanuka kwa shirika hilo inakuja ikiwa ni miezi miwili tangu lilipozindua safari mpya za kwenda Harare nchini Zimbabwe na Lusaka nchini Zambia.
Safari ya kwenda Afrika Kusini itakuwa ni safari ya tano ya kimataifa kuzinduliwa na ATCL baada ya Harare, Lusaka, Bujumbura na Entebbe.
Baada ya kuzindua safari hiyo, Matindi amesema kuwa shirika hilo litajiandaa na safari za kwenda Mumbai (India) na Guangzhou (China) ambapo maandalizi yake yamefikia katika hatua nzuri.
Ameongeza kuwa safari hizo zitazinduliwa mara tu mazungumzo na mamlaka kwenye nchi hizo yatakapokamilika.
Kwa sasa shirika hilo linalofufuka baada ya kutofanya vizuri sokoni kwa miaka mingine lina ndege nane ambazo ni, Bombardiers Q-400s tatu, Airbus (A200-300) mbili, Fokker50, Fokker28 na Boeing 787-8 Dreamliner.
Laiti ungejua SAA ndio wanamatatizo makubwa ya kifedha. Serikali kila mara inabidi iwape ruzuku maana shirika linapata hasara kila mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
NotedYes nafahamu. Nilikua nazumgumzia direct non stop route. Najua za indirect karibu zote ni cheaper than SAA. Wapo hao malawian..kuna rwandair..ethiopian..KQ...wote ni cheaper than SAA. Ila SAA ni the fastest kwa sasa maana haina connection. Air tanzania sasa watachuana nae kwenye direct route
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauli ya dar - munich go and return na chenji inarudi nyingi tu ya kufanya shoppin dxb airport!Mkuu kuna siku nilikua naenda joburg kwa dharura. Nililipa $1200 sitasahau. Iliniuma sana lakini nilikua sina jinsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho inakuuma,.