Recent content by michie

  1. michie

    JamiiForums Tanzania Watu wa dar es salaam kwanini hutembea haraka-haraka tofauti na mikoani,sijui jijini Dodoma,Mbeya,Mwanza,Tanga,na Arusha

    Mzee umeona kwenye kutembea peke ake?? VP kuongea je?? Hizo ni miongoni mwa sifa kuu za watu wa Mijini.. Ukisalimiwa salamu ijibu Kama ilivyo Halafu tembeaa.. Ukiambiwa "shwari" jibu "shwari" ...."kwema" Jibu "kwema"..."mzuka"jibu "mzuka" hakunaga stori nyingi mjini bro.. Karibu Sana Daslamu...
  2. michie

    JamiiForums Tanzania My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

    Ma lo ~ tiwa savage ft wizkid
  3. michie

    JamiiForums Tanzania Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

    Bwahahahahahah like wise[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  4. michie

    JamiiForums Tanzania Au mimi ndio jini mwenyewe?

    Hahahah #Madame S
  5. michie

    JamiiForums Tanzania Nasikia UKIMWI uko juu sana Swaziland. Sijui sababu ni hii au kuna nyingine...

    Hivi nauli mpk Swaziland ni kiasi gani? Maana mzigo kwny KIBUBU uko full imebaki kuvunja tu angalau na sie wa nyuma nyuma tukasugue Rungu
  6. michie

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kupelekwa Ubelgiji (makao makuu ya Jumuiya ya Ulaya) ni mkakati, ataongea na wafadhili wetu

    Mbona kama mtoa maada amekuumiza sana, pole anyway
  7. michie

    JamiiForums Tanzania Volkswagen vs BMW

    BMW ndo gari gani hiyo wakuu ?? Tunaomba mtupiamo basi na kapicha
  8. michie

    JamiiForums Tanzania Sokoine University (SUA),ardhi University (ARU) vyuo hivi vimechoka hadi vinatia huruma.

    Hili tuwaachie watu wachuo chuo sisi yakizungumzwa yetu ya ki-primary primary tutakuja na miandiko yetu mibovu kutoa hoja.... Wanazuoni endeleeni , sorry
  9. michie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini hamjui kutupapasa bali mnatufinyafinya wakat wa maandalizi ya sex na mikono yenu migumu

    Thanx God hakuna kinachonihusu hapo hata kimoja....Mimi sabuni na mafuta vikizungumzwa ndo ntakuja.
  10. michie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba ananisumbua sana ana anataka nitoke nae

    Daah aisee wewe, sa tatizo liko wapi hapo mkuu???? Wanaume mbona hatuko hivyo?? Si uweke tu japo cha ugiriki mzee halafu story inaishia hapo
  11. michie

    JamiiForums Tanzania Sharti la kuvua nguo zote wakati wa kujisaidia

    Duh, huku kwetu k,nyama kuna Mzee tajiri mno but majumba yake ya kifahari hayana umeme ni mwendo wa CHEMLI tu.
  12. michie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiki kitabu kilinipa mwangaza wa kushangaza kuhusu wanawake

    Hii ngumu kumeza, watafuteni wale wadada wa jf waje wapate hii shule.
  13. michie

    JamiiForums Tanzania Sharti la kuvua nguo zote wakati wa kujisaidia

    Na wengine wanapewa sharti la kutokusex for three years na yenyewe yanakubali what da hell in this world??? Better nkastey normal life but sio utajiri wa kishenzi hivyo. Mshana jr
  14. michie

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini,ulikuwa wapi,ulikua unafanya nini na sasa uko wapi , unafanya nini??

    Maza original kabisa mkuu, wasomi wanasema biological mother
  15. michie

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini,ulikuwa wapi,ulikua unafanya nini na sasa uko wapi , unafanya nini??

    50 mkuu, sio zama zenu nadhani, but hizi ni zile za katikati tu
Back
Top Bottom