Recent content by Michaelson chujagi

  1. Michaelson chujagi

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Stabilizer links ni ball joints au ni kitu kingine?
  2. Michaelson chujagi

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Niko Mbamba bay Ruvuma...zaidi ya kubadili tie rod end hakuna kingine tulichoangalia na kukishughulikia
  3. Michaelson chujagi

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba ushauri Mshana Jr au expert yeyote pia..Nina Raum old model nliinunua ikiwa imefungwa sport rim na nmeitumia kwa miezi Kama miwili bila kuwa na tatizo lolote upande wa wheels ila Cha kushangaza kwa takribani mwezi na kitu imekuwa na tatizo linalojirudia la kupoteza allignment kiasi kwamba...
  4. Michaelson chujagi

    Wakuu nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza na ninaishi mazingira ambayo ni rough kiasi. Naomba kujua ni gari gani dogo linaweza kuvumilia

    Wakuu naomba ushauri wenu especially kwa anaejua. Nataka kununua gari kwa Mara ya kwanza, naishi Nyasa Ruvuma ambako barabara ni rough Sana. Naomba kujua gari gani dogo la bajeti rafiki linaloweza kuvumilia mazingira haya na kula mafuta kidogo?
  5. Michaelson chujagi

    Rais Magufuli afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri. Mwijage na Tizeba nje, Waitara ndani

    Kikubwa tufike tunapopataka... presidence ni taasisi hivyo wanajua kinachofanyika..lets pray for the later developed TZ
  6. Michaelson chujagi

    Madiwani watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wamejiuzulu

    Ipo namna nyingine kufikiria zaidi ya kusema rushwa Rushwa. CHADEMA wasipojichungiza imekula kwao,wapo wanachama wengi sana ambao hawana vyeo ndani ya chama na hwana uwezo wa kuitwa Press conference wanahama kimya kimya bila nyinyi kujua na mmebakia kuwarukia watu wachache sana(madiwani) kati ya...
  7. Michaelson chujagi

    Nataka kujua vyeo kwa majina katika kampuni

    MTU hufanya kilichojaza akili..nachotaka ni kitu cha muhimu nashangaa sana kuona MTU analeta shobo na ushamba wa mtandaoni. Tuheshimiane tu kwa sababu tunatofautiana sana lengo la matumizi ya social networks
  8. Michaelson chujagi

    Nataka kujua vyeo kwa majina katika kampuni

    MTU hufanya kilichojaza akili..nachotaka ni kitu cha muhimu nashangaa sana kuona MTU analeta shobo na ushamba wa mtandaoni. Tuheahimiane tu kwa sababu tunatofautiana sana lengo la matumizi ya social networks
  9. Michaelson chujagi

    Nataka kujua vyeo kwa majina katika kampuni

    What's this? Simaanishi nataka mzaha Faruujohn...get grown up please
  10. Michaelson chujagi

    Nataka kujua vyeo kwa majina katika kampuni

    Kwa yeyote anaejua,naomba kufahamu vyeo(kwa majina) na mpangilio (hierarchy) katika kampuni. Tafadhali.
  11. Michaelson chujagi

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Umeona mbali sana, sio tu Elimu ila naona kuna haja watanzania wafundishwe kufikiria kwa kina kwanza kabla ya kutoa criticism zenye motives na pressure Aidha ya ushabiki au kutaka kusikia wanayotaka kusikia tu.
Back
Top Bottom