Recent content by Michael_Muhazi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Zitto vs CHADEMA:Kuna mazingira yanaandaliwa ku-influence uamuzi wa mahakama

    Nilisema hivyo toka jana. Hii ni one of the easiest cases kuingia mahakamani. Nadhani judge anaelemewa na timu ya Lisu hivyo njama zake zinagonga mwamba. Ndo maana anasema atatoa uamuzi kesho hili apate muda wa kuongea na walomtuma. Chadema inabidi wawe na plan B. Yaani with or without judge...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Kwa hiyo Zitto akijua uchafu wao tufanyeje? Biblia inasemaje kuhusu uzinifu? Tupe jina la kitabu, haya na mstari kama una akili. Ukimaliza tueleze kwa nini Zitto macho yake yanaona uchafu wa viongozi wa CDM tu. Yakienda Uswiz yanaona dollar. Ukieleza hayo, nta debate na wewe. Vinginevyo huna hoja.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Wewe huna akiri. Nahurumia nchi yangu kwa kuwa na raia kama wewe. Hivi wewe ukipewa hela ujeruhi mtu popote pale si utafanya hivyo kama mtaji wa CCM siku hizi? Kwa nn unamwita babu mzinifu? Mke wake je? JK? Kapuya? Hufai na usirushe mawe wakati nyumba yako ya vioo. Nakufundisha jinsi ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Manumba,Said Mwema,Musa Ali Musa wasiachwe wapelekwe mahakamani tena ICC

    Ndo maana nikasema uongozi makini ukija. Hii maana yake ni kwwmba, Mahita alipaswa kushtakiwa na waliopo sasa hivi. Kama wewe na waliopo mnajua alikosa na hakuna shtaka, basi hapo hatuna uongozi makini. Tunao wa safari tu, yaani kutembea dunia nzima na kutesa au kuua watu, basi. Au unasemaje?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Manumba,Said Mwema,Musa Ali Musa wasiachwe wapelekwe mahakamani tena ICC

    Said Mwema hawezi kulikwepa hilo. Hata ipite miaka mingapi. Tungoje tu kiongozi makini ashike madaraka. Huyu alikuwa akiagiza makamanda wake kufanyia watu fujo kabisa na pengine kuua. Wapo makamanda walimrecord hata kwenye mikutano. Kwa nchi makini, Mwema hakutakiwa kukaa hata mwaka mmoja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni msingi yazua balaa na kizaazaa

    Na hiyo hapo, nyingine zinakuja.....zitavuna card nyingi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete safarini Marekani

    Ugonjwa wapi? anakula raha zake tu. Huyo kijana anaitwa Miraji....ndo anaendesha kila kitu akiwa huko New York
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi Ya Urais Imepwaya mno Na Mfumo wa Kiserikali Ndiyo Mbovu Kabisa!!

    Ndugu, hata mawaziri wakipitishwa na Bunge, bado wabunge wengi ni CCM, usitegemee la maana hapo. Wameifikisha nchi yetu hapa, afu sasa wanapitia majukwaani wakitwambia nchi inahitaji maombi. Wengine wanadhubutu kutwambia tatizo letu hatuna harambee za kutosha hivyo tunahitaji harambee kubwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zitto na wenzake: Viongozi wa CHADEMA, tafadhali badilikeni!

    Chadema haipo kukulazimisha uwe mwanachama. If you dont like what they are doing, vote CCM au kaa pembeni. Ulitegejea kila walifanyalo likufurahishe wewe? Ni mangapi CCM wamefanya unayofurahia? Nakwambia, wasaliti tutawafata hata kuzimu, hata wapi. Kwa mbinu yoyote ile. Hatutachagua uipendayo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zitto na wenzake: Viongozi wa CHADEMA, tafadhali badilikeni!

    Hivi kutofika kwenye ofisi za chama chako kwa miezi nane ni wazo tofauti? Watoto wa Arusha wakiuwawa na viongozi kushiriki mazishi wewe ukakwepa ni wazo tofauti? Kujiona wewe una akiri kuliko wote hata unaowaongoza hilo ni wazo tofauti? Zitto ni mhuni, mjinga, mtoto and yes, mnafiki.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa afunika dar

    China kaka. Kule ukikamatwa hata na dawa ya kulevya, kifo ndo adhabu. Sasa iweje uibie taifa lako na kuliingiza gizani? Kujiuzuru tu haitoshi. Wanakunyonga!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa afunika dar

    Wewe mkono wako ni wa mjinga. Unaandika popote na lolote. Wewe familia yangu unaijua? Tumkubali Lowassa kwa lipi? Huyu angekuwa China angeishanyongwa, angekuwa Marekani, angekuwa jela na asingeingia kwenye siasa tena. Hapa Tanzania anategemea huruma ya watu kama wewe and the likes. Najua...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa afunika dar

    Nakubaliana na wewe ila kwa mujibu wako unaonekana unasema hakuna solution nchini. Mimi bado naamini kwamba mtu asiye rafiki wa hawa watu anaweza kuvunja mitandao yao. Kwa CCM ni Mwakyembe tu. Kina Dr. Slaa wanaweza maana wameonesha nia toka wako Bungeni, sasa sijui kwa nini sasa hivi tu doubt...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    Niliwahi kuandika hapa na narudia. Zitto hajui siasa, bado mdogo na kajimaliza mwenyewe kwa kiasi kidogo ila CCM wamemmaliza kwa kiasi kikubwa ndo maana wanamwangaikia sana. Sitashangaa wakimpa uwaziri. Huyu bwana akisimama akaona umati wa watu mwingi, anajiona anamiliki nchi ndo maana anafanya...
Back
Top Bottom