Recent content by MICHAEL TONYA

  1. M

    Kesho ingekuwa leo

    MAmbo vp great thinkers, EMbu imagine kesho yako ingekuwa leo!!? Ama ingekuwa vipi kama leo yako ingekuwa kesho...?
  2. M

    Nirudi na Biashara gani toka France and Switzerland???

    YOUTONG AYAFAI KWA TANZANIA HAYANA UWEZO WA KUHIMILI MILIMA, BORA UCHUKUWE SCANIA, Thou biashara ya magari ni risk kupita maelezo
  3. M

    Nirudi na Biashara gani toka France and Switzerland???

    UKANDA WA KUNDUCHI BEACH, BUNJU, MPAKA BAGAMOYO, KILA MWAKA BEI INAONGEZEKA, MFANO KUnduchi kilongawima plots za 20-20 zimefikia Tshs 400Million.
  4. M

    Bomu lilirushwa likaangukia hapa

    Wapumbavu wachache wanazidi kuvuruga Amani ya nchi, Nivyema kuwadhibiti angali mapema! Hii ndio Tanzania.
  5. M

    Jinsi CHADEMA watakavyochukua nchi 2015 kwa boda boda...

    Vyuo vya nchi gani????? nifahamishe plsssss!!!!!!!!!
  6. M

    Hodii

    Mmh! mh mh mh! Salama jamani?
  7. M

    nataka kufanya biashara

    Maeneo yenye ardhi nzuri kwa kilimo ndani ya Tanzania yetu ni Mikoa ya nyanda za juu kusini (Ruvuma,Iringa,Mbeya,Njombe na Rukwa), Hakika ni Ukanda unao kubali karibia kila Aina ya zao unalo lifaamu especially Iringa region na Ruvuma alongside Mbinga district , Mikoa hiyo kwa ujumla inaumaarufu...
  8. M

    Anahitajika mtu atakaye ajiriwa kwenye internet cafe

    Ninaelimu ya kidato cha sita, Ninaishi Kunduchi Africana, Sincerely nitafurahi nikipata hiyo kazi, i'm computer literate though i don't possess documentation for it ...! kuhusu malipo it's better nikafahamu mazingira ya kazi, ili inisaidie kutambua mambo kama working time, Transportation...
  9. M

    Advans Bank waita watu Kazini

    kiukweli hiyo pole haijakaa kiungwana, ingawa dhamira yako ilikuwa njema kama ulivyo sema, lakini imetumika mahala pasipo sahii! Na ndio maana imepelekea kwenye huu mtafaruku! Mbali ya yote wana jamii ni watu wenye upeo na busara hivyo naomba tumwelewe Mwenzetu kwa Uzuri na kuepusha shari!!!!
Back
Top Bottom