Recent content by Michael edes Sanane

  1. Michael edes Sanane

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona njiani safari ya kutoka Sumbawanga hadi Arusha

    Mji uliojengwa kwa kufata mpango mji tz,ni SUMBAWANGA,mitaa iko clear,nawapongeza ofisi za mipango mji wa mkoa wa RUKWA
  2. Michael edes Sanane

    JamiiForums Tanzania Mbona wazungu kwenye muvi zao wanatumia lugha ya Kiswahili kama lugha inayotumika na magaidi?

    Kweli, nadhani wakenya hukisambaza Kiswahili kimataifa kupitia wasanii wakubwa kimataifa, sie bongo tunajifanya wa zungu @wemasepetu, na wenzake, R. I. P Kanumba
  3. Michael edes Sanane

    JamiiForums Tanzania Mbona wazungu kwenye muvi zao wanatumia lugha ya Kiswahili kama lugha inayotumika na magaidi?

    Kiswahili ni lugha inayokuwa kila sekunde, Lugha asili ya bara letu, Kiswahili kipo juu, juu mawinguni [emoji16][emoji16]
  4. Michael edes Sanane

    JamiiForums Tanzania Mazao ya kilimo kimkoa

    Rukwa",mahindi, maharagwe, mgebuka, dagaa Tanganyika, Mpunga
  5. Michael edes Sanane

    JamiiForums Tanzania Sifa za jiji

    Please, naomba mnijuze ili mkoa uitwe jiji, lazima uwe na sifa zipi aswa??
  6. Michael edes Sanane

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Fact
Back
Top Bottom