Recent content by Michael AP

  1. Michael AP

    Jambo gani umewahi kusingiziwa likakudhalilisha kwenye jamii?

    baada ya kumaliza chuo rafiki yangu mmoja aliniita nije nimsaidie kazi ya kuuza electronic devices pande za chuo, jamaa alikua mjasiriamali toka tupo chuoni. Kwa kuwa sikuwa na mishe nikakubali. nikafikia kwake ambapo pamoja na mimi pia alikua amemuita ndugu yake mmoja ili tusaidiane nae...
  2. Michael AP

    Mama wa kambo kaniharibia kila kitu

    unapaswa kutafuta msaada wa Kisheria katika hilo. Kama Hujui pa Kuanzia Nenda Mahakamani Moja Kwa Moja na Utapata Msaada Bila shaka. JIPE MOYO MKUU, USIKUBALI HUYO MWANAMKE AKUFANYE ANAVYOTAKA YEYE, nasema MWANAMKE kwa sababu laiti angelikua Mama kwako asingefanya Upumbavu anaofanya. Kwanza...
  3. Michael AP

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Kisheria Mke Anayetaka Kupewa Talaka Bado ana Haki ya Kudai Mali Alizochuma akiwa na Mumewe, hata kama Yeye Ndio chanzo cha Tatizo Lililopelekea Kudai Talaka. Sheria Haimlazimishi Mke Aendelee Kuishi na Mume Asiyemtaka Hata Kama Mume Huyo Bado Anampenda Mke Kwa Dhati. Maadamu Mmoja wao...
  4. Michael AP

    Wako wapi? Uliza walipo ujibiwe

    misanya alishafariki kaka
  5. Michael AP

    TAKUKURU wanatumiwa na CCM kucheza Mind Game kuelekea Uchaguzi Mkuu

    KUFANYIANA HILA (JAPO SI UUNGWANA) SIO JAMBO GENI KWENYE SIASA, HASA PALE UNAPOHISI MPINZANI WAKO ANAWEZA KUCHUKUA NAFASI YAKO. LAKINI PAMOJA NA HAYO KAMA CHADEMA NI CHAMA SAFI KAMA WANAVYOJINASIBU WENYEWE BASI BILA SHAKA TAKUKURU HAWATAPATA UCHAFU NDANI YA "CHADEMA-SAFI". Na wewe Ukiwa...
Back
Top Bottom