Recent content by Mia San Mia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya afya nitayoweza kusoma

    Hauwezi kuchaguliwa hata kama unapesa kiss gani mchawi wako ni hesabu tu ndio amekungusha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Medical lab, pharmacy, education and clinical medicine

    Hauwezi chaguliwa clinical medicine chuo chochote kile duniani kiwe cha serikali au private kwa sababu ya F ya mathematics hata kama ungepata hayo masomo mengine yote A ila F ya mathematics imekualibia so apply upande wa diploma ya nursing, physiotherapy au ualimu wa Msingi kama una division (1-3)
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kuna jitihada kubwa sana za kudhoofisha upinzani, lakini hawataweza 2020 watakaa pembeni

    Lowasaa njooo na kipaumbele kimoja tu ajira kwa vijana utakuwa umeshashinda tayari no nchi hiii tu chuo Kikuuu anakosa ajira alafu form four fail anapata ajira
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kumgegeda huyu mmama baada ya kumuacha mara ya kwanza

    Kula ujana na jimama
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kumgegeda huyu mmama baada ya kumuacha mara ya kwanza

    Vunja mifupa ungali na meno
Back
Top Bottom