Medical lab, pharmacy, education and clinical medicine

ommky

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
459
224
Ipi kalii economically kati ya medical lab, pharmacy, education and clinical medicine
 
Ushauri wanajamii forum Nina biology B chemistry C physics C English C math F naweza chaguliwa clinical medicine vyuo vya serikali ?msaada jamani
 
Ushauri wanajamii forum Nina biology B chemistry C physics C English C math F naweza chaguliwa clinical medicine vyuo vya serikali ?msaada jamani
umekosa sifa kwenye maths.. kwanini umefel maths na phscs umefaulu..... duh subiri wataalamu
 
Hauwezi chaguliwa clinical medicine chuo chochote kile duniani kiwe cha serikali au private kwa sababu ya F ya mathematics hata kama ungepata hayo masomo mengine yote A ila F ya mathematics imekualibia so apply upande wa diploma ya nursing, physiotherapy au ualimu wa Msingi kama una division (1-3)
 
Back
Top Bottom