Msaada kuhusu kozi ya afya nitayoweza kusoma

Msaada kuhusu kozi ya afya nitayoweza kusoma

azimio ernest

Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
45
Reaction score
12
Nimemaliza form 4mwaka 2016 nakupata 2 ya 20 MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO ,chemistry C,biology,B, Phisics C,EnglishC,GeographC,kiswahiliC,CivicsC,historyC,MathF

Je kozi ya clinical medicine niki-apply naweza chaguliwa? Msaada tafadhali
 
Hapo kwenye hesabu ni msala.. Maana cku hizi wanaangalia sana hiyo..

Anyway clinical medicine huwa wanaangalia physics, biology na chemistry
 
We omba tu uangalie zali lako, kama utapata au la..
 
Nimemaliza form 4mwaka 2017 nakupata 2 ya 20 MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO ,chemistry C,biology,B, Phisics C,EnglishC,GeographC,kiswahiliC,CivicsC,historyC,MathF je coz ya clinical medicine niki apply naweza chaguliwa?MSAADA
maths f invalid password
 
Pia jamani nauliza kuusu kua apply je kila chuo na pesa yake ama pesa moja unaa apply vyuo vitano? Msaada
 
Hauwezi kuchaguliwa hata kama unapesa kiss gani mchawi wako ni hesabu tu ndio amekungusha
 
Back
Top Bottom