Lowassa: Kuna jitihada kubwa sana za kudhoofisha upinzani, lakini hawataweza 2020 watakaa pembeni

WATAKAA VIPI PEMBENI WAKATI TUNAENDEKEZA SIASA ZA KIBASHITE BASHITE
 
Waziri mstaafu Edward Lowassa anaamini kwamba kuna kila namna inayofanywa na watu fulani ili waweze kuua kabisa upinzani hapa nchini Tanzania, pia ameongeza kwa kusema kwamba Tanzania ni wakati wa kusimia haki zetu.

Akiongea na watu wa moshi mjini Lowassa amesema kwamba pamoja na mambo yanayoendelea na wanayofanyiwa katika kipindi hiki pia na swala zima la kunyiwa kiwanja cha mashujaa na badala yake kupelekwa viwanja vya Majengo, lakini anaamini kwamba shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Mh Ndesambuo umeenda vizuri na kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.

Mwaka 2020 ni mwaka wetu na tushinde hata kama wanataka kufanya kila njia ya kudhoofisha upinzani
In Lowassa Voice..

Amewashukuru pia mchungaji Gwajima na waziri mstaafu Fredrick sumaye kwa kuongelea swala hilo na kuwahakikishia moshi ushindi mwaka 2020 (Uchaguzi Mkuu)

Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu Chadema ambaye bado anaamini kwa mara nyingine tena ifikapo mwaka 2020 atapitishwa na chama chake cha Chadema kugombania urais.

Pamoja na kuamini kwamba mwaka 2015 aliibiwa kura zake, anaamini watanzania waliowengi watampa kura za kutosha ifikapo october 2020.

Kwamba watashinda 2020, ndiyo kusema atagombea urais yeye? Lini Chadema mtu kagombea mara ya pili? Hayo yanafanyika ccm. Sijui kwanini mnapenda kupotosha mambo.
 
Ana hekima gani tapeli anae Lilia urais kila kukicha Na atakufa Na urais hajapata dadeki
Acha watu wapambane,ww ni Mungu kwani usimpe?kwani ww ndie unaemuamlia mtu hatma na future ya maisha yake?acha uboya
 
Waziri mstaafu Edward Lowassa anaamini kwamba kuna kila namna inayofanywa na watu fulani ili waweze kuua kabisa upinzani hapa nchini Tanzania, pia ameongeza kwa kusema kwamba Tanzania ni wakati wa kusimia haki zetu.

Akiongea na watu wa moshi mjini Lowassa amesema kwamba pamoja na mambo yanayoendelea na wanayofanyiwa katika kipindi hiki pia na swala zima la kunyiwa kiwanja cha mashujaa na badala yake kupelekwa viwanja vya Majengo, lakini anaamini kwamba shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Mh Ndesambuo umeenda vizuri na kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.

Mwaka 2020 ni mwaka wetu na tushinde hata kama wanataka kufanya kila njia ya kudhoofisha upinzani
In Lowassa Voice..

Amewashukuru pia mchungaji Gwajima na waziri mstaafu Fredrick sumaye kwa kuongelea swala hilo na kuwahakikishia moshi ushindi mwaka 2020 (Uchaguzi Mkuu)

Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu Chadema ambaye bado anaamini kwa mara nyingine tena ifikapo mwaka 2020 atapitishwa na chama chake cha Chadema kugombania urais.

Pamoja na kuamini kwamba mwaka 2015 aliibiwa kura zake, anaamini watanzania waliowengi watampa kura za kutosha ifikapo october 2020.

Ameenda kuzika au kufanya kampeni?
 
Safi sana mgombea urais wetu wa mwaka 2020, tumeshakusimika baba hakuna mtu mtu mwingine kuingilia "gap" lako. Tuko pamoja mgombea wetu mahiri
 
Lowasaa njooo na kipaumbele kimoja tu ajira kwa vijana utakuwa umeshashinda tayari no nchi hiii tu chuo Kikuuu anakosa ajira alafu form four fail anapata ajira
Waziri mstaafu Edward Lowassa anaamini kwamba kuna kila namna inayofanywa na watu fulani ili waweze kuua kabisa upinzani hapa nchini Tanzania, pia ameongeza kwa kusema kwamba Tanzania ni wakati wa kusimia haki zetu.

Akiongea na watu wa moshi mjini Lowassa amesema kwamba pamoja na mambo yanayoendelea na wanayofanyiwa katika kipindi hiki pia na swala zima la kunyiwa kiwanja cha mashujaa na badala yake kupelekwa viwanja vya Majengo, lakini anaamini kwamba shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Mh Ndesambuo umeenda vizuri na kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.

Mwaka 2020 ni mwaka wetu na tushinde hata kama wanataka kufanya kila njia ya kudhoofisha upinzani
In Lowassa Voice..

Amewashukuru pia mchungaji Gwajima na waziri mstaafu Fredrick sumaye kwa kuongelea swala hilo na kuwahakikishia moshi ushindi mwaka 2020 (Uchaguzi Mkuu)

Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu Chadema ambaye bado anaamini kwa mara nyingine tena ifikapo mwaka 2020 atapitishwa na chama chake cha Chadema kugombania urais.
 
Kaka Lowassa acha utapeli wa maneno ulisema ccm isipotoka 2015 itachukua miaka 50 kuitoa madarakani haikutosha ukasema ukishindwa urais utaenda kuchunga mifugo yako au ndiyo ulaghai wako wa kisiasa uliwekeza nguvu katika pesa ila hukuwa na mikakati na urais utausikia kwenye tv tu
 
Kwa sasa wapinzani wajipange tu..nashuri..wawekeze kijijini zaid..apa mjini tumesha waelewa sana...2020 wanapita bila ubishi..au Rais wa ccm Wabunge 60% wapinzani...
Wanajisahau sana....wanahangaika mitandaoni ambapo walishashinda tangu 2009. Mimi nimebahatika kutembelea vijiji vingi sana. Naelewa nguvu ya CCM vijijini. Upinzani lazma muhangaikie vijijini sio mijini....
 
Huyu mzee anazeeka vibaya sana.anadhani sisi ni watoto anatudanganya.tutashinda kwa tume ipi hiyo 2020?
 
Kwa sasa wapinzani wajipange tu..nashuri..wawekeze kijijini zaid..apa mjini tumesha waelewa sana...2020 wanapita bila ubishi..au Rais wa ccm Wabunge 60% wapinzani...
Afya haitaruhusu kutembea na gari kijiji hadi kijiji, njia pekee ni kutumia chopa ambayo ni gharama sana kutembea nchi nzima na vijiji vyote.
 
Dah.... Tamaa yake ya madaraka..... na Tamaa ya fedha ya Mbowe ndiyo viliuua upinzani nchini....
Ameingia upinzani kuua nguvu, sasa hivi ana nguvu kwenda popote kampeni zikianza anaanza kuvunga watu wake kuwa anajinyea ili apate kupumzika.
 
Hongera Lowassa tunakusubilii kwa hamu baba tukupe nafasi yako ya uraisi uliyodhurumika
 
Lowassa anachekesha sana ... Yaani bado anandoto za kuingia ikulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom