Recent content by MI10

  1. MI10

    Lodge nzuri Dodoma 30k ndo bajeti

    OK Mkuu, fika maeneo ya Makole hapo Opposite na CBE zipo za kutosha ujichagulie, unaweza kucheki Waridi Lodge, Simba Lodge , na nyingine za kutosha maeneo hayo.
  2. MI10

    Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Ni Kweli ajali ilitokea Alfajiri ilihusisha Audi black, Coaster, Toyota Voxy na Pikipiki, chanzo ni Audi ambayo Mh. Nditiye alikuwemo, gari zote zipo Central Police. I think hawakujua ni Mh. Nditiye hadi taarifa za Msiba wake zilipotolewa.
  3. MI10

    Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Ni Kweli Mh. Nditiye alipata Ajali Afajiri maeneo ya 88 Nzuguni. Ajali imehusisha gari 3 na Pikipiki moja. Inavyoonekana Audi ambayo Mh. Nditiye alikuwepo ilikuwa inageuza u turn, Coaster ikaigonga ubavuni, then Audi ikaenda kugonga Voxy na Pikipiki. Gari zote zilikuwa Cetral Police, ila...
  4. MI10

    Mfahamu Mateso, mtu mwema wa Msasani aliyeuawa kwenye tukio la ujambazi Mikocheni jirani na Coca-Cola

    Kuna Vijana wanatokea Mikumi- Moro, inasemekana nao walikuwa Kwenye tukio la kupigwa risasi Cocacola. R.I.P
  5. MI10

    Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

    Wazee wa uwindaji, huo mzigo wa silaha kama ana miliki kitalu cha uwindaji😂😂
  6. MI10

    UTEUZI : Rais amteua Bw Dunstan Kyoba mkuu wa wilaya ya Mtwara

    Hongera kwake Bw. Dunstan Kyobya, Kiranja Mkuu enzi zile Makongo Sec kwa Kanali KP. All the best in your duties.
  7. MI10

    Inawezekanana kufuatilia mirathi kwa aliyefariki Desemba 2002?

    Safi kabisa umemshauri vizuri sana, kwa kuongezea ni kwamba kwa kipindi cha 2002 na kama alikuwa mwalimu, mtumishi huyo alikuwa ni mwanachama wa PSPF kabla ya mifuko kuunganishwa. Kwa kuwa PSPF ilianzishwa July 1999 na kuanza kulipa mafao mwezi July 2004. Wanachama na mwstasfu wote waliostaafu...
  8. MI10

    Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Yes biashara ya ngada mwisho wake ni mbaya, Chonji,Tikotiko a.k.a Rasta walipigwa ambush ya maana ambayo huwezi kusepa. Kwa Tikotiko ilikuwa ukipita pale nyumbani kwake Popo...., utakuta maDCM ya kutosha yamepark na ndinga za maana zipo ndani ya Fence ya nyumba yake.
  9. MI10

    Naomba kuelekezwa mahali zilipo hizi ofisi

    Hongera Mkuu, nafikiri maktaba Complex walishahama wamehamia Kivukoni Utumishi House kama unaelekea Ferry. Jaribu kufuatilia hii inaweza kukusaidia.Kila la kher.
  10. MI10

    CPA review classes Dar es salaam

    Nzuri Mkuu, karibu kwenye hii field. Walimu wazuri wa hayo masomo na wazoefu ni Leonce au maarufu Babito yupo pale Mnazi Mmoja Primary school au Uende Ilala Boma Shule ya msingi kwa Rashid hao wote ni walimu wazuri utachagua mwenyewe. Pia unaweza kwenda Kwa Mkaro pale Mtendeni Shule ya msingi...
  11. MI10

    Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana Tanzania

    Hongera Dr Chegere,hakika wewe ni TO. Kuna jamaa yetu alikuwa anatufundsha tuition pale magomeni turiani mwisho wake haukuwa mzuri academically. The man is very bright.
  12. MI10

    Tanzania One s/msingi, O-level, A-level, UDSM apata shahada ya Uzamivu akiwa na miaka 30

    Hongera jembe Dr. Martin,jamaa alipiga 1 ya 3 ya EGM from Pugu,anastahili.
  13. MI10

    CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

    Ulikuwa ni Role Model wangu kamanda. R.I.P
  14. MI10

    CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

    R.I.P my Hero, dunia itaendelea kukumbuka kwa unamapinduzi wako. Nakumbuka shule aliyosoma uncle wangu Kizunguzi- Kilosa imejengwa na wewe. Ulijua kabisa elimu ndio nguzo ya ukombozi. MWENYEZI MUNGU ampumzishe kwa amani Shujaa.
  15. MI10

    Tuache unafiki, wengi wetu tulicharazwa na kupigwa kuliko yule wa Mbeya

    Mkuu hiyo inawezekana ilikuwa shule ya jeshi kama niliosoma mimi. Adhabu hizo zilikuwa za kawaida, wenyewe walikuwa wanasema ikitokea umeumia watamwambia mzazi wako umeumia jeshini.
Back
Top Bottom