Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Mar 1, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ni vyema kutambua na kuwapa sifa zao wanaostahili sifa. Kuna thread imeanzishwa ya kumpongeza dada mmoja aliyepata matokeo mazuri ya chuo kikuu pale Mlimani na mie nauliza hivi Serikali inatambua mchango wa hawa vinara au vipi?

  Martin Chegere pia ni mmoja wa wahitimu wa shahada ya kwanza ya ktk UCHUMI lakini historia yake inasema alikuwa kinara matokeo ya PRIMARY SCHOOL, O-LEVEL akapata Div 1-7 na A-LEVEL akapata Div 1-3 na chuo GPA 4.9 na sasa anaunganisha kusomea masters.

  Huyu ni mmoja kati ya vinara wengi ambao wapo ktk vyuo vyetu mbalimbali nchini na nje ya nchi.

  Je, hivi nchi yetu huwa na mipango gani na watu kama hawa ktk kuendeleza nchi yetu?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Chegere ni noma bwana..hao matanzania 1 wengne cjui huwa wanapotelea wap,bt kwa chegere amedhihirisha hadi chuo kikuu kuwa yey ni tanzania 1.
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  bonge la mtu.
   
 4. f

  fazili JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ukweli ni kwamba hawa watu wanofaulu hivyo hawana lolote la maana inapokuja kwa utendaji. Nawafahamu wengi tu wa namna hiyo wanapomaliza masomo na kuingia kazini hakuna lolote wanalofanya kuwashinda wale wenye madaraja ya chini

  Ni ajabu lakini ni ukweli ambao watu wengi hawafahamu. akili za mwanadamu ni complex sana, mtu anaweza kuwa mkali sana darasani lakini ukimleta kwenye utendaji ni hopeless kabisa.

  Nimesoma na watu wa namna hiyo mimi japo nimefaulu kwa kiwango cha juu ya wastani, nikijilinganisha nao nashangaa kwa jinsi walivyo nyuma kiuwezo wa kutenda na kubaki kupenda kukaa ofisini na kujivunia vyeti vya form 4 wakati walishamaliza chuo miaka 7 iliyopita!
   
 5. Chachu Ombara

  Chachu Ombara JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2017
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 5,111
  Likes Received: 5,039
  Trophy Points: 280
   
 6. f

  fazili JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2017
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Karibu lakini kupata PhD at 30 sio ajabu kabisa tena hata Tz wapo wengi na hata at 28 wapo.
   
 7. N

  NANGA WA DEPO JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2017
  Joined: Oct 8, 2014
  Messages: 316
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  MKUU MIMI SIAMINI,(samahani lakini)

  YAANI HII KANUNI HAINIINGII AKILINI,,,,,MFANO MTU ALIONGOZA MSINGI, O-LEVEL, A-LEVEL ,CHUONI BADO UNIAMBIE KAZI ALIYOISOMEA IMSHINDE TENA?!!

  MIMI SIKATAI MTU WA HIVYO ANAWEZA KUWA MZIGO KWA UZEMBE WAKE BINAFSI , ULIOSABABISHWA NA VITU VIFUATAVYO:

  KUTOJIENDELEZA, DHARAU, ULEVI WA KUPINDUKIA N.K.

  VITU AMBAVYO VINAWEZA KUMTOKEA MTU YEYOTE ALIYEKUWA NA AKILI DARASANI NA ASIYEKUWA NA AKILI DARASANI......KWA MAANA NYINGINE NI MAMBO YA MTU BINAFSI.


  KWA HIYO WATU WENYE AKILI DARASANI....... HATA KIUTENDAJI MOST WAKO VIZURI SANA TRUST ME.
   
 8. L

  La Vista14 JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2017
  Joined: Apr 9, 2017
  Messages: 670
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 80
  Kukariri sio kutenda...... afanye kitu kuisaidia taifa ili umuhimu wake uonekane.. ....


  Mbona tunao akina lipumba kazi kutembeza ngumi tu kwa wenzake... wakati nchi inadidimia tu.
   
 9. Dragoon

  Dragoon JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2017
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 6,416
  Likes Received: 6,412
  Trophy Points: 280
  Wenye ufaulu wa juu madarasani wanafaa wawe ma acedemicians tu. wakafundishe mashuleni na vyuoni.
   
 10. Konsciouz

  Konsciouz JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2017
  Joined: Aug 12, 2015
  Messages: 3,682
  Likes Received: 3,873
  Trophy Points: 280
  Prof Lipumba v2.0
   
 11. M

  MI10 Member

  #11
  May 24, 2017
  Joined: Sep 30, 2013
  Messages: 23
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 5
  Hongera Dr Chegere,hakika wewe ni TO. Kuna jamaa yetu alikuwa anatufundsha tuition pale magomeni turiani mwisho wake haukuwa mzuri academically. The man is very bright.
   
 12. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2017
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  unamjua huyu kwa vile umesoma nae shule hizi za sasa kwa sisi wa miak 90 wakati mazengo Tambaza Azania Tosa Mzumbe tabora zikiwika wapo wengi Mfano Dr Mugaywa Magafu ex IHUNGO NA KIBAHA wanajua alikuaje but ameishia na mavyeti yake kusikojulikana
   
 13. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2017
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  cc dr wenzi
   
 14. Seneta Wa Mtwiz

  Seneta Wa Mtwiz JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2017
  Joined: Sep 23, 2013
  Messages: 1,941
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  Cc:
  DR. SENETA WA MTWIZ
   
 15. smigo4u

  smigo4u JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2017
  Joined: Jun 19, 2015
  Messages: 1,151
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  MOJA YA WATU WENYE MAWAZO MAZITO NA MFIKIRIAJI! BIG UP MKUU
   
 16. Dragoon

  Dragoon JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2017
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 6,416
  Likes Received: 6,412
  Trophy Points: 280
  thanks
   
 17. 2hery

  2hery JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2017
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,526
  Likes Received: 2,052
  Trophy Points: 280
  Popote alipo Dr. Matarijio Ex. TPDC Director auone uzi huu..kweli ni masikitiko kama tunapoteza kumbukumbu hivi
   
Loading...