Recent content by MI-40

  1. MI-40

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kumbukumbu iliyopitiliza

    Nakumbuka sherehe ya ubatizo wangu nikiwa na 3 yrs na matukio mengi kibao
  2. MI-40

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kumbukumbu iliyopitiliza

    Hii ni kama mimi pia Huwa nawakumbuka watu kwa majina yao matatu ,hata nikikutana na mtu kariakoo afu nikutane nae sehem nyingine nakumbuka,me nakumbuka hata matukio ambayo yalitokea nikiwa na miaka mitatu
  3. MI-40

    JamiiForums Tanzania Somo la 3: uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE)

    Kaka naambiwa group la watsap limejaa
  4. MI-40

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unajiona katika kundi la SIMP, basi achana nae mara moja

    Mkuu huu ni ukweli na uharisia
  5. MI-40

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gentlemen na simp huchanganywa ila ni watu wawili tofauti

    Kweli kabisa mkuu, kwanza wanawake wanaishi Leo, mtu unaweza kufanya SIMP ukahudumia lengo tu upate k,na mwishowe unatumia tu kwa kutambua kuwa umetumia gharama kubwa sana then baada ya hapo mwanamke hakukumbuki kwa chochote , kifupi ni kuwa SIMP mwisho wake ni maumivu Makali na majuto na...
  6. MI-40

    JamiiForums Tanzania Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

    Kabisa mkuu me pia Huwa naamini kuwa mult micro business creates mega business and money flow, kwa mfano unaweza kuwa na saloon ambayo inaingiza 10000 tu kwa siku ila ukipambana ukafungua saloon kumi zote zikiwa zinaingiza amount hiyohiyo unapata hela nyingi tu kwa MWEZI , hata kama ni 5000 tu...
  7. MI-40

    JamiiForums Tanzania True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Jitahidi kula balanced diet, fanya mazoezi, lala kwa wakati na angalau masaa nane
  8. MI-40

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wataendelea kufa na kwenda jela kisa wanawake hadi lini?

    Kabisa yafutwe tu hakuna namna
  9. MI-40

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni JF mnipokee

    Ahsa Ahsante mkuu nitaupitia
  10. MI-40

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni JF mnipokee

    Ahsante sana sana mkuu
  11. MI-40

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni JF mnipokee

    Ah Ahsante sana sana
  12. MI-40

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni JF mnipokee

    Ahsante sana JF kweli mjini
  13. MI-40

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni JF mnipokee

    Kichinjio ninacho 😂
  14. MI-40

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni JF mnipokee

    Thanks sana mkuu
  15. MI-40

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni JF mnipokee

    Kwakweli sijapata mkuu
Back
Top Bottom