Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

Jazba za nn sasa wakati ni mawazo tu mtu amechangia. mwisho wa siku mhusika atachagua afanye kipi ndio maana kila mtu anatoa maoni

Ungeshauri tu kistaarabu bila kutukana, ungeeleweka mkuu
MKUU,
SINA JAZBA MIMI.

KWA KOMENTI YA HUYO NILIYEM_QUOTE ILIVYO,
SIJAKOSEA KUJIBU HIVYO.

NENDA KASOME ALICHOKIANDIKA HAPO JUU KWANZA-
UTANIELEWA.
 
Nakushauli hiyo pesa tafuta mtu anayeenda China au Dubai mwagize smartphone used Kama iPhone 6na 6+ au Samsung kama hiyo pesa unaweza ukaletewa hata 6pc au zaid itategemeana zikifika zitangaze kupia magroup ya biashara ya Facebook , Whatsapp, Instagram nk utakuwa ukipata mteja anafuta mwenyewe hapohapo chuoni au Kama unayonafas unampelekea ila hakikisha unauza simu nzuri
 
Back
Top Bottom