Recent content by mhuri25

 1. mhuri25

  Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

  Ahmed msangi Mara ya mwisho akikuwa RPC Mwanza na akawa DCP, sijui kwasasa yupo wapi!?
 2. mhuri25

  Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

  Wilaya za Dar, Ni mikoa kipolisi ni Kama vile Tarime_Rorya Zina RPC
 3. mhuri25

  Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

  Yes, Ameshakaa Mwanza akiwa OCS akaja Dar na ameshakua RPC temeke ndio akaenda Dodoma Kama sijakosea
 4. mhuri25

  Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

  Sio Afande Muroto Kweli, mzee wa kipigo Cha Mbwa Koko, Mzee wa unapigwa Hadi uchakae
 5. mhuri25

  Ulianzaje kukaa gheto?

  Broo hata kama utakosa Bando nipo tayari kukupatia vocha ya buku ili ushushe madini Hapa!!
 6. mhuri25

  Hakika Hii Ndio Ligi Kuu Ya Tanzania Bara

  Nimekupa mfano wa Prisons alitoka DOM to RUKWA, bado Alliance msimu uliopita alicheza Mwanza Baada ya siku mbili anahitajika kucheza mbeya na Ihefu Kama sijakosea ilikuwa FA
 7. mhuri25

  Wale wadada 'wanaojisikia' sana vyuoni

  Inamaana mkuu suala la kuchunguliwa makalio na sehemu ya haja kubwa hapo chuo umelitatua VP!?
 8. mhuri25

  Hakika Hii Ndio Ligi Kuu Ya Tanzania Bara

  Bro hoja yako ipo makini Sana, hii ndio hoja ambayo kila leo ndio huwa inatamkwa lakini hili suala Hasa ndani ya bodi ya ligi tukubali tukatae Kuna shida mahali!! Mosi sioni Kama ni busara Sana baadhi ya timu kuwa na mechi nyingii sana ilihali wengine unakuta ana kiporo zaidi ya mechi 4...
 9. mhuri25

  Idadi ndogo ya udahili wa wanafunzi waliotoka Diploma UDSM inasabishwa na nini?

  Sio muimbili ni Muhimbili, Hivi mkuu Mfano tuchukue MD kuna chuo chochote hapa Bongo kina admission capacity kubwa ya MD kushinda MUHIMBILI ili hoja yako Iwe na uhalali!?
 10. mhuri25

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Chief nisamehe Sana!!
 11. mhuri25

  Idadi ndogo ya udahili wa wanafunzi waliotoka Diploma UDSM inasabishwa na nini?

  Hata intake ya Fresh from school wale F6 huwa ndogo Sana pale UDSM kwa baadhi ya Programmes!!! Pia wemeweka entry requirements tight kidogo kwa Pass zao za O'level na GPA ya Diploma
 12. mhuri25

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Habari ya wakati huu Wakuu, Binafsi nimekaa na hiki kisa muda mrefu Sana naogopa kukisimulia humu ndani maana Kuna Jamaa wachache wananifahamu vizuri tu na wanaijua ID yangu vizuri sana!!! Ila liwalo na liwe acha nitoe tu hii story!! (samahani kwa uandishi mbovu mtakaokumbana nao) kiufupi...
 13. mhuri25

  Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

  Yes, Kuna Waarusha na Wachache walidakwa Mwanza hawa Ni matukio ya kigaidi na Hawa wote wana zaidi ya miaka mi5 Sasa wapo magereza!!
 14. mhuri25

  Hadithi ya kweli ya maisha yangu

  Hivi anazungumzia Dar ipi mkuu!?? Dar hii hii yenye matukio ya kila aina!??
 15. mhuri25

  Rastafari na elimu

  Inamaama Ras haruhusiwi kupiga Medicine!?
Top Bottom