Recent content by mhondo

 1. M

  Ijumaa Kuu ya Pasaka nimeona jamaa wanatafuna nyama, tena 'mdudu'

  Nadhani kutokula nyama Ijumaa kuu ni mapokeo ya kidini ambayo yamezoeleka lakini katazo halipo kwenye Biblia
 2. M

  TV ipi nzuri? Sony, SamSung au Hisense ya Startimes?

  Ubora bado upo hivi au umebadilika?
 3. M

  Kuna dada kaniambia "I love you"

  Kama ni ofisini mbona ni maneno ya kawaida kuambiwa Sent using Jamii Forums mobile app
 4. M

  Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

  Ambao hawana dini watapiga kimya, wenye dini wataomba. Haijawahi na haitatokea binadamu wote wakalingana mawazo. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. M

  SUMATRA mnafeli wapi? Nauli Ubungo hazikamatiki

  Siku hizi hakuna SUMATRA ni LATRA Sent using Jamii Forums mobile app
 6. M

  Kwa nini kadi za bank zina expire date na za simu(sim card) hazina?

  Kuna kadi ya tigo niliitumia muda mrefu sana Zaidi ya miaka kumi baadaye ikagoma kufanya kazi kupeleka tigo nikaambiwa muda wake wa matumizi umeisha nikapewa nyingine.
 7. M

  Wazazi walaumiwe kuporomoka maadili ya watoto

  Wengine wanalelewa vizuri na wazazi wao ila jamii inayowazunguka inaweza kuchangia kutokuwa na tabia nzuri.
 8. M

  Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

  Mbona kuna applications nyingi playstore kama vile period calendar, cycle tracker na clue period tracker zinaonesha siku salama na za hatari.
 9. M

  Bodi ya Mikopo kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu 142,470 kama wakishindwa kulipa ndani ya siku 30

  Mbona wametoa majina bila kuonesha viwango vya madeni kwa kila mdaiwa.
 10. M

  emmanuel tv haipo hewani!

  Ilikuwa inaonekana kupitia tv binafsi ya muvi ambayo imefungiwa na Serikali ya Zambia kutokana na mambo ya kisiasa
 11. M

  Katika maisha unatakiwa kujua mwanao baadaye anakuja kuwa nani?

  Kwanini isiwe Mlinzi, Polisi au Mwanajeshi?
 12. M

  Bodi ya Mikopo yatangaza majina 1,091 ya wadaiwa (Awamu ya kwanza)

  Nilikuwa natuma email kwenye info@heslb.go.tz kuulizia status yangu napewa mrejesho kwamba mailbox yao is full kwahiyo yangu haukuwa delivered. Wajitahidi basi kupunguza inbox yao meseji zetu ziweze kuwafikia.
 13. M

  CRDB Bank na bank nyingine igeni NMB Bank kwa hili

  Unapobadili sim card kwa ku swap inabidi kwa baadhi ya bank ikiwepo crdb bank kwenda kwenye tawi la bank husika na kujaza fomu ili ku activate huduma ya simbanking ambapo kwa bank ya NMB hali ni tofauti ambapo kazi hiyo unaweza kuifanya mwenyewe kupitia kwenye ATM za Bank ya NMB. Ninashauri bank...
Top Bottom