emmanuel tv haipo hewani!

emmanuel tv haipo hewani!

Super Tuesday

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2016
Posts
636
Reaction score
727
mimi ni mpenzi mkubwa wa kutazama channel hii ya emmanuel tv, lakini kwa kipindi cha wiki mbili sasa channel hii imekuwa haipo hewani kupitia decoder ya Azam. je wadau wengine pia mmeliona hili tatizo?
 
Haipo mbona mda sana
 
Ilikuwa inaonekana kupitia tv binafsi ya muvi ambayo imefungiwa na Serikali ya Zambia kutokana na mambo ya kisiasa
 
Mkuu mbona mimi naiona mda huu!!
 
Attachments

  • 1473598702114.jpg
    1473598702114.jpg
    38.6 KB · Views: 48
  • 1473598712599.jpg
    1473598712599.jpg
    32.5 KB · Views: 49
Nunua dstv Decoder, mm kama wewe hakuna siku ambayo inapita kuangalia
 
mimi ni mpenzi mkubwa wa kutazama channel hii ya emmanuel tv, lakini kwa kipindi cha wiki mbili sasa channel hii imekuwa haipo hewani kupitia decoder ya Azam. je wadau wengine pia mmeliona hili tatizo?
Nunua Digitek ya Antennal Emmauel ipo na haina malipo ya kila mwezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom