Dar es Salaam. Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Benard Rwanda amewataka majaji na mahakimu nchini kutumia busara, kuzingatia sheria na miiko katika kutoa haki mahakamani.
Amewataka kutojaribu kumtia hatiani mtu kwa kuwa tu wanajua tabia yake ni mbaya, bali wafanye hivyo baada ya kujiridhisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.