Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es Salaam (DUCE) chasem CCM ndio chaguo lao kwa sasa

Hawa waalimu watarajiwa, tusiwaone mnakuja kulalamika maisha magumu wakati DUCE kimekuwa kama chuo cha ideology cha CCM.
Chuo kikuu kinapaswa kuzalisha watu critical, objective na intellectual ambao kusudi lao kubwa ni kutatua matatizo yaliyoko kwenye jamii. Ikiwa wasomi kama hawa wanajinasibu na vyama badala ya kuchambua matatizo yaliyopo na kutafuta ufumbuzi ujue hapo kuna walakini mkubwa sana miongoni mwa wasomi.
Tena wasomi wenyewe ni walimu ambao wana jukumu kubwa la ku shape jamii. Kama hali ni hii utumwa hautakaa uishe! Mwenye akili atajua tu kuwa kuna ishara ya mtumwa kutafuta mkate kutoka kwa bwana, okay, pengine mfalme atadondosha kipande na waliokuwa mbele wakanufaika wengine wakaishia kuburuzwa!
 
Tuseme ukweli tu, hivi upinzani kuna nini cha maana....fikirieni eti mtu kama Zitto ama Mbowe ndiyo awe kiongozi wa nchi hii, si ushenzi huu jamani? Ukweli ni kwamba hapa Tanzania hakuna kiongozi yeyote toka upinzani mwenye darubini ya maendeleo kama Magufuli. Walishindwa kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete, waweze hawa wehu wapiga kelele wasiojitambua kweli?
Ww naye ni wa kuhurumiwa
 
Tatizo lako ni miwani uliyovaa. Haikusaidi kuona vizuri, bali inakuzidishia uono duni.
 
Hivi kila anayekuwa upinzani hana maana? Prof. Mkumbo alikuwa wapi? RC Kilimanjaro alikuwa wapi? Waitara alikuwa wapi? Hivi unaweza kusema Mh Rais alikosea kuwateua? Hata Zitto akiteuliwa leo au Mbowe watakuwa na umuhimu wao pia. Si kila aliye upinzania hana akili.
Tuseme ukweli tu, hivi upinzani kuna nini cha maana....fikirieni eti mtu kama Zitto ama Mbowe ndiyo awe kiongozi wa nchi hii, si ushenzi huu jamani? Ukweli ni kwamba hapa Tanzania hakuna kiongozi yeyote toka upinzani mwenye darubini ya maendeleo kama Magufuli. Walishindwa kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete, waweze hawa wehu wapiga kelele wasiojitambua kweli?
 
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA DAR ES SALAAM (DUCE) CHASEMA CCM NDIO CHAGUO LAO KWA SASA.

Tarehe 23 desemba 2018 Ndg Said Said Nguya Afisa wa CCM Makao makuu ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Tawi la Chuo Kikuu Kishiriki Cha Dar es salaam (DUCE) uliyofanyika katika ukumbi wa Iddi Nyundo Wilayani Temeke kama Mgeni Mzungumzaji.

Katika mkutano huo ulioongozwa na Mwenyekiti wa Tawi Ndg Paul Kawawa umehudhuriwa na wanafunzi takribani 320, ambapo Ndg Said Said Nguya ametumia fursa hiyo kuwaeleza wanafunzi mambo makubwa ya maendeleo yanayofanywa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Ndg John Pombe Joseph Magufuli, hivyo amewataka vijana nchi nzima wawe walinzi kwa yeyote anayetaka kumvunja moyo ama kumkatisha tamaa kiongozi wetu.

Wakati huo uo kumefanyika zoezi la ugawaji wa kadi kwa wanachma wapya wa CCM takribani 220, na kwa kauli moja wameahidi kuwa wanachama waaminifu kwa CCM siku zote.

Wamesema wamefikia hatua hiyo kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu na Mwenyekiti wa CCM Ndg Magufuli hasa katika utoaji wa mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu, Ununuzi wa Ndege, Ujenzi wa Reli ya kisasa, ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa Stieglers gorge n.k ambapo yote haya yanalenga kuipeleka Tanzania katika uchumi wa kati.

Mkutano huo pia umehudhuriwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa Mkoa wa Tanga Ndg Fredrick Chagoha, Mjumbe wa Halmashauri kuu Wilaya ya Mkuranga Ndg Bofu, na viongozi wengine ambao wote kwa wakati tofauti wamewaasa Wanafunzi mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na Nidhamu, bidii ya kazi pamoja na kujitolea katika kufikia malengo.

Imetolea na Katibu Hamasa
TAWI LA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA DAR ES SALAAM ( DUCE).
View attachment 976375View attachment 976376View attachment 976377
Ukumbi huu ni mali ya serikali.
 
Ngoja waje mtaani wakione cha moto. Wenzao mwaka wa 4 huu hawana ajira. Tuition nazo siku hizi hazilipi!
 
Upuuzi mtupu.
downloadfile-2.jpg
 
Mleta mada umefanya dhambi moja kubwa sana,umesababisha wanachuo wa DUCE wametukanwa kwa pamoja kumbe ujinga ni wa hao 300 empty brain na sio wote. Kwa nini mnapenda kulazimisha ujinga wenu kuwa wa wote?
 
Marais wastaafu hawastahili heshima hata kidogo, wametuyumbisha sana as a nation. Kwa wenzetu wanauliwa ila hapa Tanzania wanalindana tu na ndiyo maana ninaichukia CCM ila upinzani inatuangusha kwani hakuna wa maana kule, ni uozo mtupu.
Hata wewe mwenyewe hujui uasimamia nini!
 
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA DAR ES SALAAM (DUCE) CHASEMA CCM NDIO CHAGUO LAO KWA SASA.

Tarehe 23 desemba 2018 Ndg Said Said Nguya Afisa wa CCM Makao makuu ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Tawi la Chuo Kikuu Kishiriki Cha Dar es salaam (DUCE) uliyofanyika katika ukumbi wa Iddi Nyundo Wilayani Temeke kama Mgeni Mzungumzaji.

Katika mkutano huo ulioongozwa na Mwenyekiti wa Tawi Ndg Paul Kawawa umehudhuriwa na wanafunzi takribani 320, ambapo Ndg Said Said Nguya ametumia fursa hiyo kuwaeleza wanafunzi mambo makubwa ya maendeleo yanayofanywa na Serikali ya CCM inayoongozwa na Ndg John Pombe Joseph Magufuli, hivyo amewataka vijana nchi nzima wawe walinzi kwa yeyote anayetaka kumvunja moyo ama kumkatisha tamaa kiongozi wetu.

Wakati huo uo kumefanyika zoezi la ugawaji wa kadi kwa wanachma wapya wa CCM takribani 220, na kwa kauli moja wameahidi kuwa wanachama waaminifu kwa CCM siku zote.

Wamesema wamefikia hatua hiyo kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu na Mwenyekiti wa CCM Ndg Magufuli hasa katika utoaji wa mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu, Ununuzi wa Ndege, Ujenzi wa Reli ya kisasa, ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa Stieglers gorge n.k ambapo yote haya yanalenga kuipeleka Tanzania katika uchumi wa kati.

Mkutano huo pia umehudhuriwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa Mkoa wa Tanga Ndg Fredrick Chagoha, Mjumbe wa Halmashauri kuu Wilaya ya Mkuranga Ndg Bofu, na viongozi wengine ambao wote kwa wakati tofauti wamewaasa Wanafunzi mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na Nidhamu, bidii ya kazi pamoja na kujitolea katika kufikia malengo.

Imetolea na Katibu Hamasa
TAWI LA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA DAR ES SALAAM ( DUCE).
View attachment 976375View attachment 976376View attachment 976377
Hivi ajira za walimu zimetangazwa ?
 
Una u

Una umri gani? Unaonekana kinda usiyetaka kujua na umelishwa sumu!

Mimi siipendi CCM lakini huwezi linganisha mtu wako na mtangulizi yeyote, Mkapa alikuwa charismatic, Hata JK lakini si huyu.

Hebu tuambie kitu gani kipya chake amefanya? Anasoma wenzie walitaka kufanya nini anakopa na kufanya. Unajua mkapa ndie alianziaha TRA? Na SUMATRA nk? Huyu kaanzisha TRURA! Are they performing?

Miaka 39.
 
Back
Top Bottom