Recent content by Mhilu

  1. Mhilu

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Embu acha upotoshaji...bunge(hao kina kibajaji,mlinga ,sugu)hawaandai bajeti bali wanaidhinisha kilichoandaliwa na wataalam wa serikali Unadhani kama shule za serikali zingekuwa bora kama zamani watu wangeenda private? Zamani ilikuwa fahari mtu kusoma Tambaza,kibaha,azania,umbwe kilakala...
  2. Mhilu

    Matumizi ya fedha nje ya bajeti siyo wizi

    Embu acha upotoshaji...bunge(hao kina kibajaji,mlinga ,sugu)hawaandai bajeti bali wanaidhinisha kilichoandaliwa na wataalam wa serikali
  3. Mhilu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Meridian ni nzuri zaidi unaweza kufanya turbo cash out huna haja ya kusubiri michezo yote iishe
  4. Mhilu

    Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

    Na kama hakushauriwa /kushawishiwa na mtu na pia ni kweli jambo lilitokea unamshauri afanye nini?
  5. Mhilu

    "The Economist" vs "Tarehe 26.04.2018", ni mpango maalumu ama!!. I hope TISS mmeshaliona hili.

    Hoja inajibiwa kwa hoja ...tukanushe kwa hoja !
  6. Mhilu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nataka kudeposit 1xbet kupitia airtelmoney inazingua jina la kampuni nililopewa halitambuliki
  7. Mhilu

    Mpenzi wa Harmonize amnunulia saa ya milioni 600

    Hahahahahah na mimi nashangaa....una saa ya mil 600 unaishi nyumba ya mil 50.....
  8. Mhilu

    Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    Unaonaje ukienda polisi ukatoa maelezo hayo ??
  9. Mhilu

    CHADEMA yazipelekea barua balozi za Marekani na Ujerumani kuhusu tuhuma za Musiba kwamba zinaihujumu Tanzania

    Kwani uzalendo ni nini?nadhani kwanza ilitakiwa yule alietoa tuhuma aombwe kuleta vielelezo vinginevyo achukuliwe hatua na liwe fundisho kwa watu wengine na waliomtuma kama katumwa sasa wenye mamlaka wanapokaa kimya basi waliotuhumiwa wana wajibu wakujua tuhuma zao na kuzitolea maelezo
  10. Mhilu

    Mbunge Bashe ndani ya TV Somali: Azungumzia siasa za Tanzania na urithi wa JK Nyerere

    Acha uongo unamjua Baba yake?nenda nzega uliza sheikh mohamedi
  11. Mhilu

    Morogoro: Zitto Kabwe akamatwa, ahojiwa na kuwekwa ndani. Atoka kwa dhamana

    Kwa sheria ipi inayomzuia kwenda huko au sheria ya matamko?
  12. Mhilu

    Kwanini CHADEMA haikuchagua wawakilishi kwenda kudai karatasi za utambulisho?

    Ulitaka wafanye nini wakati ni saa kumi na mbili na mkurugenzi hajatoa fomu anakimbia kimbia na saa kumi na mbili alfajiri uchaguzi unaanza ? Usiku huo fomu wangetoa wapi bila nguvu ya ziada??
  13. Mhilu

    MBOWE: Tumeshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki

    Ila leo balozi akiwa na miaka 69!wakati kuna vijana wengi tu wizara ya mambo ya nje ....!
  14. Mhilu

    Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

    Kwani kuna tatizo gani wakilinda kura?unaogopa nini wakati wanajua kuwa wanashinda na wanakubaliki chini ya CCM mpya ?
Back
Top Bottom