Recent content by Mhe. AJAYE

  1. Mhe. AJAYE

    Vijana tuungane tujiajiri

    Binafsi nimependa wazo lenu la kujiajiri Mm nafanya biashara ya mchele kutoka KAHAMA to Dar, nitapenda endapo nitapata vijana wenzangu wajasiliamali hata wawili wenye mitaji ya atleast mill 2 au 3 tuungane Pia naomba kupata mtu ambaye anaweza kutafuta masoko hapo Dar, mfano Hotels & Shule...
  2. Mhe. AJAYE

    Kwanini Saed Kubenea na Absalom Kibanda wanaweweseka baada ya taarifa ya kutimuliwa Lowassa CCM?

    Hao ni paparazi wa UKAWA specific chadema, wanakifanya ni kwamba kila mgogoro unaotokea ndan ccm wao wana-u-pressurize(chochea) ili ccm kigawanyike na badae wakuu wao wachukue nchi haopo october 2015
  3. Mhe. AJAYE

    Una Wazo zuri la biashara? Niambie tufanye wote biashara

    Wazo la bishara tunaweza kukupa hata bila kushirikiana, ila kabla sijakupa wazo lako, napenda nifaham yafuatayo toka kwako... 1) ,umri wako na jinsia, hii ni kwa sabab baaz ya biashara zinaweza fanywa na watu wa rika na jinsia flan tu. 2) sehem unapokaa au kuish, nalo ni jambo jema kwa kuangalia...
  4. Mhe. AJAYE

    Dovutwa yupo Eatv

    Huyu ni mwajiliwa wa ccm.
  5. Mhe. AJAYE

    Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

    Dah! Nimepeleza cfa 1 tu. Sasa cjui kama utaweza kulegeza mashart ili tuwe pamoja
  6. Mhe. AJAYE

    Makundi ya wasaka urais, ubunge na udiwani kuisambaratisha nchi na CCM 2015

    Bukombe pia ilikuwa hivyox2 Pro Kahigi alikuw mwanaCCM na alishnda kura ya maoni ila NEC ya CCM wakampga chin akahamia chdm na kushnda ubunge, japo hakuendana na kasi ya upinzan ila shukran kwake kwa kuongeza Ruziku kwny chama.
  7. Mhe. AJAYE

    Mkutano wa CHADEMA Kuwashukuru watu wa Mbeya

    Hongeren Chadema kwa kaz nzur za kupambana na mkoloni mweusi
  8. Mhe. AJAYE

    Saed Kubenea anatumiwa na CHADEMA kuidhoofisha ACT-Tanzania

    ACT acheni kulalamika mitandaon, hizo ndiyo changamoto za siasa za tz, msizani kuitwa chama kikuu cha upinzan ni kaz rahisi, ni vzur mkatafuta suluhisho na siyo kukimbilia kwny MEDIA
  9. Mhe. AJAYE

    Kuelekea 2015, USHAURI wa Bure kwa Mhe LOWASSA

    Mhe LOWASA! inafahamika​ ww ni mmoja kati ya watu wachache waliojipambanua wazi kuwa wana nia ya kugombea URAIS 2015, na ni ww ndiyo kati ya watu wenye nguvu kubwa ya kupata cheo hicho 2015, kwanza nikupongeze kwa harakati yako ya kuisaka nafasi hiyo ya juu ya uongozi Tanzania. Yapo mambo...
  10. Mhe. AJAYE

    UDOM kwachafuka kwa maandamano

    Kwa taarifa tulizozipata hivi punde ni kwamba ‘wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) wanajiandaa kuandamana kushinikiza kupewa hela zao za mafunzo kwa vitendo’ mtoa taarifa amesema chuo ilishapokea pesa hizo tangu wiki mbili zilizopita lakini mpaka sasa bado wanafunzi hawapewa KUSAINI pesa...
  11. Mhe. AJAYE

    Kinachoendelea vyuo vikuu ni ujumbe tosha kwa LOWASSA 2015…!

    Mhe. Sorry nilipost kimakosa, mpangilio nafikiri kwa sasa umekaa vizuri, soma na uelewe ujumbe..! ila tambua kuwa hata mimi simubezi Mhe. LOWASSA na nazani umeoona mwishon nimemaliziaje...
  12. Mhe. AJAYE

    Kinachoendelea vyuo vikuu ni ujumbe tosha kwa LOWASSA 2015…!

    Pole sana Mhe. LOWASSA kwa harakati zako za kusaka URAIS 2015….! Ndg zangu, juzi nilitembelea Mji wa Dodoma, hakuna asiyefahamu jinsi mji ule ulivyojariwa na kuwa na vyuo vikuu vingi (Eg. UDOM, MIPANGO, ST JOHN na CBE), nilijaribu na nilifanikiwa kufanya mahojiano na baadhi ya wanavyuo...
  13. Mhe. AJAYE

    Maajabu..! Eti watanzania tujiandae KISAIKOLOJIA...!

    Ninakerwa na hii kauli "WATANZANIA TUJIANDAE KISAIKOLOJIA", kupitia majukwaa mbali2 kuhusu katiba, wapo baadh ya viongozi wa serikal na chama(hasa chama X) wamesikika wakitamka kauli hiyo ambayo inapelekea sintofahamu kwa kile kitakachotufanya tujiandae KISAIKOLOJIA! Nakuwa na mashaka sana na...
  14. Mhe. AJAYE

    Dr LWAITAMA asisitiza muundo wa serikali 3...!

    Haikuwa mdahalo bali ni maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na kauri mbio yake ni KATIBA MPYA "CHOCHEA MABADILIKO LETA USAWA WA KIJINSIA" kutokana na kauri mbiu ile watu walipewa nafasi kuuliza maswali na kupata ufafanuzi wa baadhi mambo muhimu yaliyomo kwny RASIMU ya PILI.
  15. Mhe. AJAYE

    Dr LWAITAMA asisitiza muundo wa serikali 3...!

    Kama nilivyotangulia kusema hapo juu, ni katika maadhimisho ya siku ya wanawake ambayo katika mkoa wa dodoma yamefanyika kwny ukumbi wa Mwl NYERERE(chuo cha mipango), Dr LWAITAMA amesisitiza muundo wa serikali 3 wakati akijibu swali kutoka kwa mwanafunzi wa UDOM aliyetaka kujua "ufafanuzi juu ya...
Back
Top Bottom