Recent content by mhasibumkuu

  1. mhasibumkuu

    JamiiForums Tanzania Mitaa korofi na hatari mikoani

    Moshi kuna Kwa sadala stand,Kwa mtei,rau madukani,njoro na pasua
  2. mhasibumkuu

    JamiiForums Tanzania Mitaa korofi na hatari mikoani

    Kaka umenifurahisha sana mabatini miembe giza na orange tree nimeipenda sana naongezea na nyambiti
  3. mhasibumkuu

    JamiiForums Tanzania Mitaa korofi na hatari mikoani

    Arusha matejoi ni noma, ungalimited Kwa sana
  4. mhasibumkuu

    JamiiForums Tanzania Hizi zote ziko Mwanza na mnada ni Jumapili hii

    Ok, tujuze muda wa minada itakua sa ngapi hiyo kesho
  5. mhasibumkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Ruwako mangi Mosha nkiki, instruction yeke amba kuda.. Follow instructions bana
  6. mhasibumkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    I will die waiting..... Halloooo any one here
  7. mhasibumkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    As I say, pm ur number then I will make a call, if things goes well w'll c the JF Couple.I & U
  8. mhasibumkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Mh! Ar u serious?
  9. mhasibumkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Thanx for ur concern
  10. mhasibumkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Utahusika kwenye kamati, tuombe mungu nimpate huku kweli ntafurahi sana "From JF with love"
  11. mhasibumkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Naiman JF itanipa mmoja wa kweli na wa haki "someone special to wipe to tears off" .... Kwa Mara ya kwanza akipatikana wa kweli na haki hapa wana JF watasimamia kuanzia maandalizi mpaka ndoa na itakua ni JF SPECIAL COUPLE
  12. mhasibumkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natumai mungu atasikia kilio changu
  13. mhasibumkuu

    JamiiForums Tanzania Mkopo toka benki ya Stanbic

    Kwa mujibu wa sheria ya fedha unapokopa unapaswa kulipa endapo utakwama kulipa kwa mfululizo miezi 3 utakua umevunja mkataba na Mali ulizoweka dhamana zitakamatwa na dalali alieteuliwa na taasisi husika Kwa kukupa notisi ya siku 14, endapo mwajiri ndio mdhamini wako na ukafukuzwa kazi au kampuni...
  14. mhasibumkuu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Wapo ambao wana tatizo hilo tena ni watoto warembo sana na ni watoto wa madoctor ni wamekuwa wakitumia dawa za kila aina labda angekuja mtaalamu aweze kuwapa tiba ya kweli iweze kuwasaidia kiukweli hili ni tatizo wapo wengi nimewakuta na hili tatizo
  15. mhasibumkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Sijawaona kiongozi, bado nasubiri
Back
Top Bottom