Natafuta mke

Natafuta mke

Habari wadau, Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiishi peke yangu na sasa natangaza rasmi nahitaji mke humu ndani nipo Mwanza nina 30yrs nimeajiriwa nahitaji mwanamke anayejitambua asiwe mnene nahitaji awe na umbo la wastani umri asinizidi at least awe miaka 27 kushuka chini kabila lolote dini yoyote.

Kama unahitaji mume ni PM namba yako nitakupigia

walaa ucpate shida nipo kwaajili yako
 
Teh teh teh teh mkuu, utatuwakilisha.

Nyehunge lazima uhusike kwenye kamati maana bila wewe hawawezi kwenda ukerewe MV NYEHUNGE ndo itawapeka honeymoon wakale huko ukerewe. Nasubiria majibu sijui ameshapata sijui bado MHASIBUMKUU tujuze tuanze kujipanga.
 
Wakitoka huko tutawapeleka ile hifadhi ya Rubondo pia kwa mabasi yangu ya Nyehunge express.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom