mhasibumkuu
Member
- Sep 6, 2014
- 43
- 6
- Thread starter
- #41
Hakuna background ya kuscreen michango yako ya humu ndani ili kukuelewa wewe ni mtu wa aina gani, unajua humu tumeficha ID, ili mtu ajue we ni mtu wa aina gani anapitia michango yako.
Nimekuelewa sana tatizo sijachangia mada za humu ndani mda mrefu sana