Recent content by Mhanga_78

  1. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Magufuli sio tatizo?

    Acha mbwembwe Raisi alienda kusalimia na kumjulia Hali Yule shehe na sio swala kwamba alienda kustukiza. Kina mama ndio waliomzoazoa njiani na kumpeleka wodini ashuhudie aliyoyaona. Acheni ushabili.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba aliyoishi Kikwete Singida, funzo kwa wasomi

    Mtoa mada amechemka. Kwa wakati huo hiyo Nyumba ilikuwa ya hali ya juu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mchina anatangaza bidhaa zake kuliko mjapani?

    Ulaya nayo inamadaraja. Mfano unaweza kuikuta ZTE Poland na Hungary lakini sio Norway au Sweden
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wake za watu wamekuwa dili siku hizi, tatizo nini?

    We jamaa umenivunja MBAVU. DUH. BALAA SANA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ana cheo gani CCM

    Kazi kweli kweli.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nawe ni mtumiaji wa neno LOL? Soma hapa

    Laugh out Loudly... Hiyo maana nyingine anayoleta Mshana Ni Porojo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na binadamu wa ajabu alfajiri hii

    Una maana gani aliingia darajani?... Alizama darajani, alipita kama wewe ulivyopita Au? Sijakusoma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hufa mara mbili

    Nina mashaka na madaktari wetu wanaotoa maamuzi kwamba sasa huyu mtu amekufa... Kuna jamaa alikurupuka kutoka kwenye fridge na kuingia mtaani anafahamika hapa mjini kwetu... Na ni mzima hadi Leo....
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Sasa mambo ya wachawi umejuaje na wewe aisee? Au unahusika?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa foleni za magari Ferry sio mzuri

    Kila mtu akichomekea then WHAT?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    Fulstop.....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

    Very well elaborated... Pamoja sana..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Raia waua mwanajeshi Mbeya

    Mwenye makosa ni mwanamke aliyeamua kumegwa na wote... Wanaume tuwe tunatafakari tunapofumania wake/wachumba zetu... Na sio kukurupuka
Back
Top Bottom