"...Nilifanya hivyo kwa kitambo kidogo mpaka nikaanza kuchoshwa na kitendo kile cha kujitia uchizi na kuigiza utoto wa kubembeleza mtu mzima. Wakati nikielekea kuchoka ndipo niliyaona matunda ya kazi niliyoifanya, nililishuhudia tabasamu pana lilichanua usoni mwake. Nikamwangali kwa kina mpaka...
"""Ukamataji huu ulifanyika ukishuhudiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay iliyopo katika Kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni ambaye alithibitisha kuwa watuhumiwa hao walikamatwa wakiwa na kiasi tajwa. Ieleweke kwamba, Maofisa wa TAKUKURU ndiyo waliomwita Mwenyekiti wa Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.