Recent content by Mgumuink

  1. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume huwa mnajua maana ya ''one night stand''?

    njooo nkusaidie bn kweli hao wanakosea sana
  2. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Manyara linamshikilia mbunge Mary Nagu kwa amri ya Mkuu wa wilaya ya Hanang Sara Ally

    Anaandika DC HANANG Nimeona mijadala mingi inaendelea kuhusu Mbunge Mhe Mery Nagu na katibu wake kuwekwa ndani na DC. Ni kweli Wamewekwa ndani kwa:- 1. kufanya mikutano ya kuhamasisha wananchi kwamba ziara za DC hazina tija wananchi wazikatae na amezipiga marufuku. Nimekuwa nikifanya...
  3. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya PR ya Nyalandu huko Uingereza

    Tulipaswa kuhoji haya kabla hajaondoka lakini kusubiri kuondoka kwa mtu ndo tuanze kuyasema mapungufu yake inatupa shida kidg ss tusio na vyama.
  4. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania Unaangalia taarifa ya habari kutoka kituo gani?

    Azam two ndo nyumba bora ya kuishi bila unafiki wwowote nimewaamini sana
  5. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

    N Na kweli ndg ametusahau kabsa kaka angu ana 35 anawatoto 6 nmebaki mm tu
  6. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kiume

    tatzo umri wangu naogopa ata kusema
  7. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Naungana na P. Majaribu aliyekupa sifa ya kuwa mkuundugu yangu mtoa mada.
  8. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Naungana na P. Majaribu aliyekupa sifa ya kuwa mkuundugu yangu mtoa mada.
  9. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Naungana na P. Majaribu aliyekupa sifa ya kuwa mkuundugu yangu mtoa mada.
  10. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kuhusu focus vikoba

    Wapendwa poleni na majukumu. Hivi kweli focus vikoba inatoa mkopo online? Au ni njia ya kuwatapeli watanzania? Nimepigiwa simu zaidi ya mara moja wakinisisitiza kuweka akiba yangu ya sh 1mil ili wanipe mkopo wa 10mil mpaka sasa nakosa cha kuwajibu msaaada wenu plz
  11. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania Vicoba Saccos

    leo niliingia mtandaoni nikakuta hilo tangazo nikajaza fom na baada ya muda walinipigia simu kunitaka nitume pesa kiasi cha sh milioni moja ili nipate milioni kumi lakini moyo wang ulisisita san nkamwomba niwatumie asubuh kesho duhhh kumbe ni matapeli asante mungu
  12. Mgumuink

    JamiiForums Tanzania Dress to impress

    Yan hapa bongo ukiwa mwl alafu usijishughulishe walah lazma uwe mwizi au ombaomba
Back
Top Bottom