Ndugu#kilambimkwidu.. Nilifanya hivyo kwa kupata ushauri kutoka kwa mwajiri wangu mpya ( kwa bahati nilivyoenda kwenye halmashauri mpya nilikutana na Hr ambayo alikuwa kule Mimi nilipokuwa) akanielekeza niombe kutumia check number nikafanya hivyo, nakukumbuka hadi batch namba walinipa ila sasa...
Mkuu nilienda pale utumishi wakanishauri niandike barua ya kuajiriwa upya nikiambatanisha barua ya ajira ya kwanza (ambayo sikuwa nayo maana niliondoka kabla ya barua hazikutoka za ajira) nikashindwa kufanya hivyo.
Salaaam wakuu!!
Mimi nilikuwa mwalimu wa shule ya msingi katika halmashauri moja mkoani Pwani, katika harakati za kuangaika nikatoroka nikaenda kusoma baada ya kumaliza shule sikurudi kazini likapelekea kuondolewa kwenye payroll (nilifutwa kazi) hii ilitokea mwaka 2012.
Baada ya maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.