Recent content by mgosii

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Napita tu
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki ndoa ya kidini

    Ndugu yangu ss wanadam yupo hapa dunian kwa malengo maalum na kubwa ni kumuabudu mungu na dini ndo njia ya mbinguni. Ushauri wangu kwako 1.acha uzinifu , kuwa mwanadini kisha oa. Mungu atakubariki.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa umekuja CHADEMA kwa nia ya Urais au uliipenda CHADEMA kabla?

    mm najiuliza, hiv katiba ya cdm inasemaje juu ya hili? kweli inawezekanaje mtu kujiunga juzi na chama na leo kuchukua form ya urais hivi chama hakikuwa na mtu makini wa kugombea nafasi hiyo ? mbona tunazalilisha viongozi wetu wa cdm.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    inna lillah wa inna ilaih raajiun. to Allah we belong and to him is our return. polen sana wana mbeya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Mishahara Walimu Wapya

    walim wenzangu , yanayo tuhusu wenyewe tuulizane kwan kuanika siri zetu si vizuro
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    ock , Tanzania SECULAR STATE , MBONA MAASKOFU WANA KAULI NDANI YA NCHI HII TUNAYODAI HAIFUNGAMANI NA DINI AU SECULARISM NI UKRISTO?
Back
Top Bottom