Sitaki ndoa ya kidini

Sitaki ndoa ya kidini

Mkuu umetisha hiyo kitu (pesa) wacha tu, haina dini, kabila wala dhehebu

Hii kitu wengi hawaambiwi ukweli ila wanapewa visingizio vya dini, au kabila.

Angekuwa muoaji ni Rugemalila wangesema mchukue tu mtafunga ndoa huko huko.

Hahahahahaha!!!
 
Sijui unashindwaje kwenda kumuoa kanisani! It seems umekariri sana.

Au unataka ufanye kama kingi mswati?
 
una njaa sana ya pesa unakwepa garama ya harusi. Ila kwakuwa wewe ni storyteller enewei

Lakini mi nadhani harusi ni utaratibu tu, hata mimi nilichopanga nifanye party na ndugu wote wawepo tunasegedenka, mchezo unaisha.
 
Nimekariri mkuu????

Ndio. Atheist anaweza oa yeyote kwa njia zozote (salama). Ungekua Muslim ndio kungekua na issue, but atheist!!!! Sijui ni nini kinakufanya usioe kanisani coz hakuna rules zozote kwa atheist. Atheist like a chameleon. Atheist anajiamulia mwenyewe. unapojaribu Ku interrupt na watu wenye imani zao unatakiwa kuheng na upepo. kuoa kanisani ni kitendo cha masaa machache tu na wala hakiwezi kukutoa uathist wako. labda useme kwamba unaogopa may be unajihusisha na ushirikina! mganga alikupa hilo sharti or huna nia ya kuoa mtu mmoja.
 
Aisee... Hivi mapenzi ya hivi bado yapo? Yaani uuze kila kitu kisa mwanamke? Are you kidding me?
 
Ndugu yangu ss wanadam yupo hapa dunian kwa malengo maalum na kubwa ni kumuabudu mungu na dini ndo njia ya mbinguni. Ushauri wangu kwako 1.acha uzinifu , kuwa mwanadini kisha oa. Mungu atakubariki.
 
Back
Top Bottom