Recent content by mgorolafinyonge

  1. mgorolafinyonge

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    ukweli utajulikana na wabambikizi watashindwa tu
  2. mgorolafinyonge

    Matumizi mabaya ya madaraka yatavuruga amani yetu

    Katika manispaa ya Iringa kuna kijito kinapita katikati ya mti na pembezoni mwake watu wamekuwa wanajishughurisha na kilimo cha umwagiliaji, sasa kuna jamaa amewahonga baadhi ya viongozi wasio waadilifu wakamruhusu ahamishe kijito hicho kipite kwenye barabara ya mtaa. Wananchi wakagoma baada ya...
  3. mgorolafinyonge

    Katuni hizi kama zina ukweli fulani vile?

    hawawez kuzuia moshi kwa gunia dawa wajirekebishe maana sisi ndo waamuz wa mwisho
  4. mgorolafinyonge

    Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    tumsamehe maana hajui alisemalo na hajui kama hajui
  5. mgorolafinyonge

    Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

    kwa kweli kwa hali hii hatufiki
  6. mgorolafinyonge

    naombeni mnikaribishe

    hodi hodi wana jamii naombeni mnikaribishe,kwa wasiofahamu maana ya jina langu ni MNYOOSHAJI WA VILIVYOPINDA
  7. mgorolafinyonge

    Pigo jingine kwa JK: Mzee Mwinyi apigilia msumari suala la kuchinja

    mzee mwinyi yupo sahihi mambo kama haya yanahitaji maamuzi kwa wakati na yenye msimamo
Back
Top Bottom