Matumizi mabaya ya madaraka yatavuruga amani yetu

Matumizi mabaya ya madaraka yatavuruga amani yetu

Joined
Apr 10, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Katika manispaa ya Iringa kuna kijito kinapita katikati ya mti na pembezoni mwake watu wamekuwa wanajishughurisha na kilimo cha umwagiliaji, sasa kuna jamaa amewahonga baadhi ya viongozi wasio waadilifu wakamruhusu ahamishe kijito hicho kipite kwenye barabara ya mtaa.

Wananchi wakagoma baada ya kukuta greda linachimba barabara bila kushirikishwa wakati kijito hicho kina njia yake ya asili kwa zaidi ya miaka 50 kwa sasa hakikauki na maji yake yanakwenda mpaka katika bwawa la Mtera.

Baada ya wanamtaa na viongozi kugomea zoezi hilo fisadi huyo akafukia ili mradi kufukia kwa sasa barabara hiyo haipitiki na mabomba mengi yamekatwa viongozi wa serikali na manispaa sijui wapo rikizo au ndio umangimeza wao au kuwaogopa wenye fedha picha zinafuata muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom