wakuu tarehe 26, ila amna kinacho endelea. msaada kwa wanao kaa karib na chuo. Nendeni mkaulizie utaratibu vipi maana siku zina songa uku site ya Dom haileti update ambayo tunaitaka.
ila majinq yet yalichelew kupelekewa chuo sasa cjui fatizo ili wamesha lirekebisha maaan sisi wa udom na udsm ndo tunasumbuliwa nacte ila vyuo vingine wao washa jua utaratib unakuaje, tukae kusid kuomb ili nacte watuurumie watufanyie utaratib nasi uwe sawa kama vyuo vingine.
kipus we haujui kama mda umesha kwisha hadi sasa, vyuo vina hitaji maandaliz pia na bodi ya mkopo taarifa zetu watapata lini kama shughul yenyewe ndo hii ya kuendelea kusubiriii tyu kila wakat na je uchaguz mwak huu usinge kuwepo hii hali c wanafunzi wote tungebaki mwaka huu nyumbani maana vyuo...
majanga ndipo yanapo anzia, m nisha jitamba chuo naanza mwezi wa kumi na moja. leo mnanifanya niishi bila kuwa na matumain ya kuenda chuo maana chuo hakija toa majina kam nimekuwa selected au lah.!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.