Confirmation from Chuo

Confirmation from Chuo

Kwa wale ambao wamekosa vyuo vya afya diploma or certificate, but Wana Nia ya kwenda chuo mwaka huu pm namba yako kuna chuo kpo kinahitaj wanafunz kmechelewa kudahili
 
Duh...¡¡¡,
hata kama wakitubadilishia vyuo, watuambie mapema coz siku za maadaliz zimebaki chache yaan hapa nipo njia panda wadau

Duh inawezekana ukabadilishiwa chuo ulichopangiwa mwanzo kwa mtindo huu?

Hata mim, presha imepanda mpaka imeshuka,yaan sina ham,kwenye profile yangu ya tcu,wameniambia kuwa nimekuwa comefermed from my institusion for adimition, ki2 kinachonichosha zaid majina ya second batch yametoka, ila lakwangu halipo....

Inasikitisha sana ila cha msingi ni kuwasiliana na Nacte kama ulisha kuwa provisionally selected na hiyo selection hauioni ili kujua shida nini.

Sasahiv wameondoa selection ktk profile yangu, Hawa Nacte!!

Kuweni wapole na ni kawaida sana...TAREH 16 NDIO DEADLINE YA KUAPLY AMBAPO TATIZO NDIPO LILIPOANZA... ipo vile vile hamna kitakachobadilika...
Kwan hamjapokea admission letter kutoka chuoni? Ukisha be selected ndio basi hamna namna.... na hili tatizo ni kwa wote wa NACTE ila sio tatizo ni kawaida sana...sema ninyi mmekuwa mkitembelea profile zenu mara kwa mara ndio maana hata kosa dogo kiufundi mnaliona...
Kuweni na amani bhanaa
 
Sasa mbona wanafanya classes Sasa!!? Niny profile inaoneshaje!?

Imerudi kama.Zamani NENO Selected Limetoka. Na Hii Imesababishwa na Sisi Kuwa Confirmed Tayari Kwahiyo NACTE tumeshaachana Nao.

Tunasubiri Bodi ya Mikopo
 
Imerudi kama.Zamani NENO Selected Limetoka. Na Hii Imesababishwa na Sisi Kuwa Confirmed Tayari Kwahiyo NACTE tumeshaachana Nao.

Tunasubiri Bodi ya Mikopo

Bora yenu ninyi mmeona na majina ktk website za vyuo vyenu lkn sis hakuna hata majina na tulipata provisional selection tu, Sasa sijui ndo isharamba kwetu!!!!? Mnnnh! Kz ipo
 
SENGEREMA SCHÖOL OF HEALTH wamekwisha kuni2mia Join kwenye Email na dateline ya kuripoti chuoni ni tarehe 29th Oct , cjui nitakuwa mgeni wa nani mimi?
 
nimeona mkuu,naanza kujiona udom pale

ila majinq yet yalichelew kupelekewa chuo sasa cjui fatizo ili wamesha lirekebisha maaan sisi wa udom na udsm ndo tunasumbuliwa nacte ila vyuo vingine wao washa jua utaratib unakuaje, tukae kusid kuomb ili nacte watuurumie watufanyie utaratib nasi uwe sawa kama vyuo vingine.
 
Kwa anae fahamu INSTITUTE OF ADULT EDUCATION anijuze vizuri, nimechaguliwa Bachelor of Education in Adult and Continuing Education...
 
Jamani.nacte tujuzeni yanayojiri..majina hatuyaoni ktk vyuo mlivyotu select provitionaly..mimi ni mekuwa selected UDOM ila majina udom siyaoni na joining sijapata wadau hii ikojee
 
Jamani.nacte tujuzeni yanayojiri..majina hatuyaoni ktk vyuo mlivyotu select provitionaly..mimi ni mekuwa selected UDOM ila majina udom siyaoni na joining sijapata wadau hii ikojee


mm mwenyewe nimepangiwa udom ila kwenye majina ya waudom sipo
 
Back
Top Bottom