Nimeona wakuu wengi wanalalamikia nacte ipo ivi nacte wanatakiwa wajifunze kutoka tcu then ndio waanze mchakato wa kudahili wanafunzi kwa system zao,nacte ndio wanaanza udahili ila cha ajabu wanakua wa mwisho kutoa matokeo mbaya zaidi awasomeki mara profile ipotee mara irudi mara waongeze Muda wakati ata selection ya kwanza awajatoa nacte wanatakiwa wapumzike na kupewa train upya then baadae sana wafanye udahili wakiwa wameiva vizuri ubabaishaji utaisha,tcu first round mpaka third tushapata Lakini nacte mmmh Ni shida.