Third round application

Third round application

Udom iz too much, tumechok subir hizo round nyingine maana hata raha hatuna na kuwa approved hatuwi siku zote hizo tu.
 
yan nyie mnaosubiri udom lazma mfe na ukimwi,,kuna wengne mtatoka batch ya 11 mwez wa kumi na moja trh 15,,kile chuo htr sana..
 
mbona kimya humu ndani...tcu nao hawataki kufungua web yao.
tupeane taarifa kama kuna chochote....
 
mbona kimya humu ndani...tcu nao hawataki kufungua web yao.
tupeane taarifa kama kuna chochote....

Web Inafunguka Nw Tembelea Profile Yko Uone Kama Unechaguliwa Na 4th Round Ya Application Iko Waz Nw Had Trh 23 Oktb Kwa 2liokosa
 
Sasa hawa wa 4th round watafanya maandalizi lini na vyuo vinaanza kufunguliwa Nov 2 na hali ya kifedha kwa watanzania wengi sio nzuri.Inakuwa kama watu wanaofanya kazi tcu au nacte siyo watanzania na hawajui hali ya watanzania jinsi ilivyo.
 
Web Inafunguka Nw Tembelea Profile Yko Uone Kama Unechaguliwa Na 4th Round Ya Application Iko Waz Nw Had Trh 23 Oktb Kwa 2liokosa

kuna rafik yang hapa profle haijabadlka ipo vile vile..kweny view selection haionesh na kwenye make 3rd round inafunguka
 
Website ya TCU ina malazi au ina ugonjwa gani? Toka jumamosi haipatikani au hacker washafanya yao?
 
Website ya TCU ina malazi au ina ugonjwa gani? Toka jumamosi haipatikani au hacker washafanya yao?

walkuwa wanafany processing ya 3rd round but ss hivi inakubali we chek
 
Back
Top Bottom