Recent content by Mgoda simtwange

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

    Huyo mwanaume ni kilaza. Jukumu la kujenga nyumba kwa wazazi wa kiumeni ni la mwanaume. Nafikiri hajui ndoa vizuri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sabasaba ndio hii ratiba yako ikoje kumbuka leo ni free day

    Unaonekama Kama vile umeamka asubuhi halafu hauna kazi ya kufanya.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya

    unadhani huko ulaya kila mtu ana maisha mazuri. Wengine wana hali mbaya kumzidi hata bibi mjane wa kijijini matombo
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakutafuta matured man

    Njoo inbox
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inashindwa kuwaka japo betri ina chaji

    mfumo wa starter utakuwa na shida kidogo. hata mimi niliwahi kukumbwa na hilo tatizo. ilinigharimu kifaa cha sh 2000 tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni chanika? Nyumba nyingi zinauzwa?

    kama nyumba ni za bandia zipo chini ya kiwango ina maana hapo ukinunua nyumba milion 20 ni sawa umenunua kiwanja tu. maana nyumba itadondoka muda wowote. huu ni wizi na utapeli tu
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

    Ma CO wa siku hizi ni shida.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

    Unaonekana wewe sio mwanaume bali mvulana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Penalt za dodi ya mapato TRA ni asimilia ngapi?

    Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Penalt za dodi ya mapato TRA ni asimilia ngapi?

    Habari zenuwana JF. naomba ushauri wa hili jambo Nilifungua biashara stationary ndogo tu mwaka 2013. Halafu mwaka 2014 kutokana na biashara kutokuwa nzuri nikaifunga. kwa kutokujua kuwa biashara ikifungwa inabidi kuwataarifu TRA, mimi Sikuwajulisha TRA kuwa stationary nimeifunga. kodi ya mapato...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuzuia viroba vijana bado wanalewa kwa bei ile ile ya kiroba

    Acha wachangie uchumi wa nchi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Listi ya fursa za biashara na miradi mbalimbali nchini Tanzania

    Copy and paste. Fursa ni zaidi ya hizo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Passo Inauzwa

    Inaoneka bado mpya. Anyway Sifa nzuri na kubwa ya PASSO ni ipi? Changamoto yake Kubwa ni ipi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto anaharisha.

    Mpe ORS wakati unajipanga kurudi tena hospital. pole
Back
Top Bottom