Recent content by Mgeninani

  1. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo aongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa na kukagua mpaka wa Tanzania na Msumbiji

    Soma katikati ya mistari hakuna mtu amesema mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama
  2. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Kutuhumiwa tu si jambo jema, kuna nchi unang'oka kwa tuhuma tu, tujifunze kuwa wanyenyekevu kwa Mungu na watu tunaowatumikia. Viburi vinazaa visasi na dhambi.
  3. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Gavana: Ununuzi wa vifaa vya BVR,mitambo ya TANESCO na mabehewa ya treni sababu za kushuka shilingi

    Baada ya kuchukua pesa za Escrow kwenye magunia, mkanunua dola zote nchini, kisha mkazitoroshea nje kwenye account zenu za siri.HII NDO SABABU KUU YA KUPOROMOKA KWA THAMANI YA TSH!!!
  4. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    Kosa la Gwajima ni kukataa katu katu muswada wa serikali wa mahakama ya kadhi, vingine ni sababu tu, na kwa hili nafikiri anawafuasi wengi kuliko wale wanaokusanyika kawe, Picha ya wanasiasa imewekwa wazi, UHARIBIFU beware!
  5. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Mnaowalaani Al Shabab, mnajua wanachofanyiwa Wasomali kwenye nchi yao na askari wa Kenya?

    Huyo siyo baba wa watu kima wewe huyo ni YESU KRISTO katajwa mpaka kwenye QUR'AN, na hii inaonyesha kuwa wewe si muislam. Gaidi Mkubwa we!!
  6. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Mnaowalaani Al Shabab, mnajua wanachofanyiwa Wasomali kwenye nchi yao na askari wa Kenya?

    Ndo maana baraza la maaskofu Tz hawataki mahakama ya kadhi, wanajua kuna wapumbafu kama akina Ali Kombo na Abubalari shekau(kiongozi wa boko haram) watapenueza hoja zao za uenda wazimu, kama mnaona mnaonewa hameni nchi muende Saudi Arabia mkageuzwe wanawake. , wehu wakubwa nyie!!
  7. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapata pigo jingine wajumbe wao BMK wafikia 6

    Bunge la katiba kule ndani ni hoja zinazoshindana, ukawa wanadai walitukanwa mbona na wao tulisikia matusi kutoka kwao, serikali mbili au Tatu mwisho si watapiga kura, na hata ikipita mbili si wataturudishia sisi, kama hawana imani na tume ya uchaguzi si wangedai kiraka kwenye katiba ili tume...
  8. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto ataniua soon

    kama ni kweli ''keep on pressing she is just trying you'', hana njemba yeyote anajipandisha chati tu na usitumie tena neno nakupenda
  9. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hakuna popote UKAWA walipomtukana Mwl Nyerere, Msitulishe uongo wenu!

    SEPARATIST shame on you,mlipewa pesa na waarabu muanzishe chokochoko na mabomu unguja through uamsho,eti Zanzibar itakua kama Dubai, mbona hawaendi kusaidia somalia? I said shame on you.we mbowe na wenzako janja yenu tumeifahamu,whom are you represent anyway?shame on you!your plans are revealed...
  10. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Tindu lisu inatakiwa apumzishwe ndani kwa muda

    CV gani ya ajabu aliyonayo tundulissu ? To me he is just "nonsense lunatic"
  11. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Mnaoitaka Tanganyika jibu swali hili

    Unafikiri ujio wa Tanganyika utabadili kitu? Acheni kwanza tabia zenu za wizi na ulaji rushwa halafu ndo tuanze kudai tanganyika
  12. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania Mnaoitaka Tanganyika jibu swali hili

    See Kobe no answer they don't have any solid urguments, poor fools
  13. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania In Edward Lowassa, I trust...

    unafikiri hawajui au hawakuona ndio hao wanataka kuwasha vigari vyao asubuhi waingie kwenye ofisi za umma waibe na wasiulizwe,Huyu atauliza
  14. Mgeninani

    JamiiForums Tanzania The Shocking Information against CHADEMA

    Siasa siyo fair game kama mlikua hamlijui, zitto aliingia kwenye siasa akiwa mtu wa kawaida tu, leo hii anaukwasi wa kutosha tu nyie mnajua, kaupataje? siasa ndo inalipa kihivyo?, mtu yoyote mwenye akili hawezi kumwamini mwanasiasa kwa asilimia 1oo%, lengo lao la kwanza ni kusaka kura wakipata...
Back
Top Bottom