Kwa upofu wako wa historia, mbona hujaeleza asili ya Waarabu ni kutoka nchi gani na historia ya Kibiblia na kidunia inasemaje kuhusu chimbuko la Waarabu?
Unasahauje kuhusu Ukweli wa kibiblia kuhusu Mtume Ibrahim (Abraham) na mke wake Sara na Hajar na watoto wake wawili Ismael na Is-haka? (...
Na wewe kwa kutojitambua unashabikia uvamizi wa muda mrefu wa Israel kwenye ardhi ya Palestina...wakati huo huo bila shaka unalaani uvamizi wa Russia katika ardhi ya Ukraine!.... a double standards.
Ni kazi bure...Hujaleta uthibitisho wowote hapo....Ila kila mtu aliona kilichotokea, na hata lile goli linalodaiwa kuwa off-side lilivofunga. lakini yote kwa yote ndiyo yameshatokea...
tugange yajayo
Mtu yeyote anayejinasibisha kuwa ni mjuzi zaidi wa mambo kuliko wengine, na asiyekubali hoja za watu wengine bali kushikilia msimamo wake binafsi hata kama hauna mashiko na unapingwa na wengine wengi, na anayetishia kuhamasisha vurugu, ghasia na machafuko katika jamii kwa kisingizio cha...
hOJA ZA KITOTO KABISA
Hoja ya kuwanyanyapaa akina Kitenge kwa sababu tu wapo upande wa pili katika mjadala wa uendelezaji bandari ni kufilika mawazo au uzezeta wa kujitakia.
Linapokuja suala la mjadala kila mtu ana uhuru na haki ya kutoa mawazo yake. Kuyakubali ama kuyakataa ni hiari ya mtu...
Hakuna anayedai kuwa viongozi wasisakamwe.... wasakameni sana kwa kujenga hoja mbadala zenye tija na faida kwa nchi yetu.
Kisichopendeza ni kutukana na kusakama kwa kuutweza utu wa kiongozi... hiyo haikubaliki au kuvumilika hata kidogo.
Hivi kwa mfano mzazi atamchukuliaje mtoto wake ambaye...
The answer is crystal clear....athari za 'Mfumokristo'. Kwao Uarabu ni ugaidi, siasa kali, Al-kaida nk, ndio maana hata katika mambo ya dhahir kama aliyejenga majengo ambayo sasa ni ikulu ya Magogoni na hospitali ya Ocean Road hawataki kuamini kuwa ni Waarabu. Majengo ya Ikulu yakiwa ni chuo cha...
Jamani ikulu zote dunia zinahitajika kuwa self sufficient kwa mahitaji yote muhimu. Kumbi za mikutano, migahawa au hoteli kwa ajili ya wafanyakazi, makazi ya rais na wafanyakazi muhimu ambao ni wasaidizi wa rais, kwa kutaja kwa uchache!
Ikulu ni taasisi inayojitosheleza kwa kila kitu katika...
C&P
Tunapohama kutoka analojia kwenda digiti neno 'king'amuzi' limeshamiri sana. Ndipo majuzi kupitia Radio One kwenye kipindi cha lugha ya kiswahili Jumamosi waendesha kipindi wakawa wanajadili haya.
King'amuzi ni detector. Mfano vile vibao vinavyotumika kupapasia sehemu za vizuizi na kwenye...
NI ukweli mtupu ulioyanena.
Hii huduma imeachwa huria mno! Kuna kila sababu za kudhibiti na kusimamia.
Kama aliyepewa dhamana ya kutoa huduma ameshindwa kukidhi mahitaji, wadau wengine wenye uwezo waruhusiwe kutoa huduma sanjari na wao, ili kuleta ushindani na ufanisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.